Hummingbad: Kirusi kilichoteketeza zaidi ya simu janja mil. 10

0
Sambaza

Kirusi hichi kinasemekana kuharibu simu janja zenye kutumia programu endeshaji maarufu ya Android na iOS(kwa mara ya kwanza), kimeharibu zaidi ya simu janja milioni 10 na zaidi.

follow url

Soma Pia – Je tunahitaji Anti-Virus katika simu za Android?

hunningbad

Kwa muujibu wa taarifa kutoka Check Point zinasema kuwa kirusi hicho kina uwezo wa kuathiri simu janja au tablet na kuweza kudukua taarifa mbalimbali muhimu kutoka kwenye enter site barua pepe, taarifa zako za benki na kingine chochote kitakachohitajika ili kuweza kukamilisha uhalifu na kisha kuuza taarifa hizo kwa wezi wa mitandaoni.

Jinsi kirusi hicho kinavyoathiri simu janja/tablet zenye kutumia Android/iOS

Iwapo mtu atatembelea tovuti ambayo siyo ya kweli, kirusi hicho kitajaribu kuingia kwenye simu janja/tablet na kujaribu kupata ruhusa ya kufanya/kuona kila kitu (root access) na ikishindikana kirusi hicho kitajaribu kumuwezeshesha mtu kuweza kufanya karibu kila kitu kwenye tovuti aliyoitembelea mfano http://agauchepourdevrai.fr/?fuier=dejeuner-rencontre-celibataire-longueuil&ca4=25 unapoambiwa ubonyeze linki fulani kuweza kuangalia video ya ngono.

SOMA PIA:  Samsung yazindua Samsung Galaxy J7 Prime 2 kitofauti na ilivyozoeleka

Kama hayo yote mawili yakishindikana kirusi hicho follow site kitatuma taarifa ya uwongo kukujulisha(notification) uweze ku-update simu janja/tablet yako na ukidanganyika na kuruhusu maboresho kufanyika(updating) basi kirusi hicho kitakuwa kimepata ruhusa ya kudukua taarifa zako na kuziuza kwa wezi.

Taarifa zinasema kuwa follow Uchina kirusi hicho kimeathiri sana vifaa ya kielekroniki(simu janja/tablet) kwa wingi zaidi, takribani vifaa 1.6m ikifuatiwa na definition of dating relationship India(1.35m), enter site Marekani ikiwa nafasi ya tatu katika idadi ya simu janja/tablets  ikifuatiwa na agencias matrimoniales en medellin colombia Australia na go Uingereza kwa pamoja jumla ya vifaa 100,000 vikiharibiwa na kirusi hicho.

hummingbad

go site Chati ikionyesha nchi zilizoathiriwa na kirusi hicho chenye kuathiri simu janja/tablet

Google wanasema kuwa wanataarifa kuhusu kirusi hicho na wamekuwa get link wakizuia apps zilizokwishaharibiwa na kirusi hicho kuweza kupakuliwa na kuboresha kompyuta zao ili kuweza kuufanya taarifa za wateja wao kuwa salama zaidi.

SOMA PIA:  Jifunze kutengeneza mafaili ya GIF kupitia WhatsApp

Iwapo kifaa chako kimeathiriwa na kirusi hiki jambo la kufanya ni kufuta kila kitu(restore factory) kwenye simu janja/tablet. Epuka kupakua app kutoka kwenye tovuti isiyoaminika(kama sio kutoka kwenye app store/apple store).

Teknokona inakushauri uwe makini pale unapokutana na mitandao au apps zisizoeleweka. Kuwa muangalifu, unashauriwa kupakua apps kutoka soko husika la apps katika simu yako tuu – kiusalama.

> Soma Pia – Je tunahitaji Anti-Virus katika simu za Android?

> Simu ipo slow?? Fanya yafuatayo irudie kasi yake! #Maujanja

SOMA PIA:  Fanya Simu Yako Ya Android Au iOS Itaje Jina La Mpigaji, Ukipigiwa!

Endelea kufuatilia Teknokona kuweza kujua mengi zaidi kuhusu kirusi hiki.

Makala hii imeandikwa kwa usaidizi wa vyanzo kama go site theguardian, tech Times pamoja na vyanzo vingine mbalimbali.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com