Maonesho ya IFA 2017 kufanyika kuanzia Septemba 1-6 jijini Berlin

IFA 2017 kufanyika kuanzia Septemba 1-6 jijini Berlin

1
Sambaza

IFA 2017. Onesho kubwa la uuzaji, na utambulisho wa vifaa ya kielektroniksi la bara la Ulaya Maarufu kama IFA (Internationale Funkausstellung Berlin) linatarajiwa kuzinduliwa Septemba mosi mwaka huu.

ifa 2017

IFA 2017 inafanyika katika jiji la Berlin nchini Ujerumani, makampuni makubwa kutoka sehemu mbalimbali duniani yatashiriki ili kuonesha bidhaa zao wanazotaraji kuzitoa siku za karibuni.

http://carenannegeiges.com/52-week-project/52-week-project-week-2652-2/ Kuanzia Simu Janja, Laptops, TV, Radio, Mashine za kufulia nguo, majiko ya umeme, Mafriji na vifaa vingine vingi vinataraji kuuzwa na kutangazwa.

IFA 2017

watch Maonesho ya IFA 2017

follow IFA ni moja ya maonesho ya kale zaidi ya viwanda tangu mwaka 1924 likiwa linafanyika kila mwaka, hususani mwezi Septemba. Kwa sasa onesho hilo limekuwa maarufu kwa vifaa vya umeme na majumbani pia.

IFA inatoa fursa kwa makampuni kuwasilisha bidhaa zao na maendeleo ya uzinduzi wa bidhaa mpya. Kwa mara ya kwanza IFA ya mwaka huu inatarajiwa kuwa sehemu ya uzinduzi wa bidhaa nyingi kuliko miaka iliyopita.

Aidha wauzaji wakubwa na wataalamu wa Teknolojia hupata pia fursa ya kujadili na kubadilishana mawazo. Teknokona tutakutea habari mbalimbali kuhusu vipya vitakavyotambulishwa katika maonesho haya.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.