Linda akaunti yako ya Facebook na uepukane na udukuzi

Ifanye akaunti yako ya Facebook kuwa salama kwa kuondoa programu usizozihitaji

0
Sambaza

Baada ya sakata la Cambridge Analytica kuhusu mtandao wa Facebook kutumia taarifa za watumiaji wa mtandao huo wa kijamii; mbinu ya kuepukana na dhahama ya kudukuliwa kwa taarifa zako kwenye akaunti yako imebainishwa!

Katika akaunti ya Facebook kumekuwa na programu kadhaa zinazotembea pamoja na akaunti yako hivyo kuwepo na uwezekano mkubwa wa kudukuliwa kwa mawasiliano yako.

Facebook imetoa fursa kwa watumiaji wake kuweza kuziondoa programu hizo mara moja ambapo hapo awali hakukuwa na uwezekano wa kuweza kuzitoa programu hizo. buy generic Finax online canada Baadhi ya programu aidha umeziunganisha mwenyewe au hukuziunganisha mwenyewe lakini sasa unaweza kuziondoa zote kama una wasiwasi kwamba zinaweza kuwa chanzo cha kudukuliwa mawasiliano yako.

INAYOHUSIANA  Facebook: Kuwa na mafariki wengi zaidi ya kikomo

Baadhi ya akaunti unaweza kukuta hakuna hata programu moja iliyounganishwa katika akaunti husika hivyo ina maana upo safi wala hakuna haja ya lazima ukute progarmu.

Namna ya kuangalia na kuondosha programu zilizounganishwa na akaunti yako ya Facebook.

  • Fungua tovuti ya Facebook kisha fungua akaunti yako. Nenda moja kwa moja kwenye settings,akaunti yako ya Facebook
  • Kisha fungua source url Apps and Websites kisha utaona programu zilizounganishwa na akaunti yako (kama hakuna basi heri),akaunti yako ya Facebook
  • Kama zipo weka alama ya ‘ buy femara letrozole uk Pata‘ kwenye kila kiboksi na kisha bonyeza remove kuziondoa. Baada ya hapo utakuwa salama zaidi kuepuka programu ambazo zingeweza kudukua mawasiliano yako.
akaunti yako ya Facebook

Akaunti mbalimbali ambazo zimeunganishwa na akaunti yako ya Facebook kuweza kuchukua/kuona taarifa zako.

akaunti yako ya Facebook

Weka pata kwenye kila kiboksi na kisha bonyeza remove kuziondoa programu hizo.

Kuna wakati unaweza kufikiri kufanya jambo fulani linahitaji utaalamu sana, la hasha! Sasa na wewe unaweza ukafanya watu wengine wasiwe na uwezo wa kujua wewe ni nani kupitia mitandao ya kijamii.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.