Instagram Sasa Yafikisha Watumiaji Milioni Mia 8 Kwa Mwezi

Instagram Yafikisha Watumiaji Milioni 800 Kwa Mwezi!

0
Sambaza

Mtandao wa Instagram umeongeza idadi ya watumiaji wake hivyo familia inazidi kukuwa kwa kasi ya hali ya juu.

click

Mysoline no prescription Tangia mwezi wa nne mpaka sasa Instagram imefikisha watumiaji milioni 800 kwa mwezi kutoka watumiaji milioni 700 kwa mwezi

http://acousticbox.com/banjo-restoration/ Inamaanisha katika rekodi zake haikuwahi kuongeza idadi ya watumiaji wengi hivyo (milioni 100) ndani ya kipindi cha muda mchache kama sasa. Hivyo basi inaonyesha dhahiri kuwa idadi ya watumiaji inakua kwa kasi kubwa sana

Instagram Stories

Mfumo Wa Stories Ndani Ya Instagram Kama Wa Snapchat

Instagram kumbuka ndio mtandao wa kijamii ambao unasifika sana na umejichukulia umaarufu mkubwa katika maswala mazima ya picha.

INAYOHUSIANA  Apple kununua vioo vya simu kutoka LG badala ya Samsung

Idadi ya watumiaji imezidi kupanda baada ya mtandao huo kukopi baadhi ya vipengele katika mtandao wa kijamii wa Snapchat.

Instagram

Instagram Live (Mfumo Wa Kurusha Video Za Papo Kwa Papo)

Kwa haraka haraka inawezekana kabisa kwa Snapchat ikashindwa kupambana na Instagram,, Hebu fikiria tuu kuna ulazima gani wa kutumia App mbili ambazo huduma zake zinafanana?

Mpaka sasa Instagram ina watumiaji wengi kuliko Snapchat, Vipengele vipya vingi vya Instagram vimekopiwa Snapchat. Hili pekee linaweza wasababisha wengi kubakia katika mtandao wa Instagram.

La muhimu ni kwamba ni vigumu sana mtu kutumia mitandao miwili ya kijamii ikiwa anapata huduma sawa hivyo basi mkubwa atabaki kuwa mkubwa tuu

INAYOHUSIANA  Udukuzi wa taarifa za wateja unatesa mabenki

Niambie kutoka milioni mia 7 mpaka milioni mia 8 ndani ya miezi mitano tuu, unaipa Instagram neno gani moja? Niandike hapo chini  sehemu ya comment.

 Kumbuka Kutembelea TeknoKona Kila SIku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.