Tegemea Mambo Haya Katika Toleo La iOS 11! #MaelezoNaPicha

0
Sambaza

Kampuni nguli ya kutengeneza na kuuza simu, Apple imeweka wazi kuwa iOS 11 itaanza kupatikana rasmi tarehe 19 mwezi september mwaka 2017.

Baadhi ya vipengele ambavyo vitakuwepo katika iOS Hiyo vinajulikana na hii ni kutokana na wale ambao walikua wanatumia toleo la iOS 11 la Beta (la majaribio)

Kama ulikua unasubiria kwa hamu iOS 11 baada ya kusoma ‘MaelezoNaPicha’ unaweza ukasema siku haziendi kabisa kwani kuna vipengele vya aina yake.

SOMA PIA:  FIFA: Teknolojia ya video kutumika kombe la Dunia 2018 Urusi

TAZAMA ‘MaelezoNaPicha’ HAPA CHINI

iOS 11 Na Baadhi Ya Sifa Zake

iOS 11 ina sifa nyingi sana na vipengele vingine vingi zaidi vimeongezwa. Katika MaelezoNaPicha hapo juu vimeongelewa kwa kifupi vipengele vichache tuu japokua vipya viko vingi.

Ningependa kusikia kutoka kwako, je wewe ni kipengele gani kimekuvutia zaidi? niandikie hapo chini sehemu ya comment.

Kumbuka Kutembelea TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com