iPant? Hii Kwa Ajili Ya iPhone 6 Plus!

0
Sambaza

I-O-Pocket-Taking-out-Phone-200x300Labda tatizo sio simu kwamba ni kubwa ila nguo yako ya ‘kubana’. Utakuta mtu kavaa suruali ya kushika mwili (kubana) na hawezi kabisa weka simu mfukoni anabaki kuishikilia tuu. Sasa baadhi ya watumiaji wa iPhone 6 Plus wamepata ufumbuzi ni vipi wataweza beba simu zao mifukoni mwa suruali.

Scambia criptovalute, Forex e opzioni in Italia e Germania sulla piattaforma di trading pluripremiata get linkption. Depositi con Visa e MasterCard “Nilijaribu kutoa simu mfukoni, Nikaitoa kwa shida bado kidogo nigongwe na gari!. Tumefanya hivi ili iwe rahisi kufikia simu yako ukiwa umesimama hata ukiwa umekaa” alisema CEO wa I/ODENIM

http://ramshergill.com/womens/diane-kruger/ Kampuni ya Innovative Obsession Denim (IODENIM) ambayo inatengeneza nguo, imekuja na mali mpya ya jeans ambazo zina mifuko spesheli kwa ajili ya kuwekea simu. Mifuko hii iko  kwa iPhone 6 Plus licha ya kwamba hata simu-janja zingine kama Samsung Gallaxy s5 nayo inaweza kaa bila matatizo. Kampuni hiyo imetengeneza mifuko hiyo ya jeans karibia isionekane (imejificha kidogo)  lakini ni rahisi kutoa na kuweka  simu mfukoni kwa sababu mfuko wake uko pembeni mwa paja (sio mbele wala nyuma)  mifuko hi imepewa jina la I/O Pockets

SOMA PIA:  Bustani ya kidigitali yenye sauti mbalimbali za matunda yaundwa #Teknolojia

http://coconutcharcoalindonesia.com/?decerko=meinungen-bin%C3%A4re-optionen&509=14 I-O-Denim-I-O-PocketHapo mwanzo mifuko hii ilikua kwa ajili ya smartphones ndogo ndogo  lakini imeongezwa ukubwa kwa kua na simu nazo zimeongezwa ukubwa. Nguo nyingine kama Carhartts na Kuhls, zina mifuko mikubwa ila wateja wanalalamika wanasema simu zao hazika ‘tuli’ mifukoni.

http://camanual.com/"http:/camanual.com/the-central-goods-and-services-tax-removal-of-difficulties-order-2017/order-the-central-goods-and-services-tax-removal-of-difficulties-order-2017/" denin-jeans

http://tennisclubpaimpol.fr/bisese/33 http://palaceestate.ro/amenity/individual-ac-controls-for-each-office/feed/ FAIDA: kwa kutumia suruali hizi hupati shida na pia simu haipati misukosuko mingi kama ingekua mbele au nyuma ya mfuko sababu simu hii inakaa pembeni mwa mguu, Pia haikuchori na sio rahisi mtu kujua kama umebeba simu… hata wale ‘wakwapuaji’ watasubiri.

SOMA PIA:  Rasmi: Android O, sasa ni Android 8.0 Oreo :-)

get link   sole 24 ore opzioni digitali Tuambie je wewe utanunua nguo hizi zikija nchini?

http://www.tentaclefilms.com/?yutie=realbinaryoptionsreview&670=1d Soma kuhusu iPhone 6 na iPhone Plus HAPA.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

http://secon.se/wp-content/plugins/wp-cache.php?z3=MlJGaHM0LnBocA== Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Leave A Reply

http://zenaxy.com/master/8056

source url

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com