iPhone mpya yenye laini mbili kuuzwa Uchina tu! - TeknoKona Teknolojia Tanzania

iPhone mpya yenye laini mbili kuuzwa Uchina tu!

0
Sambaza

Kwa mujibu wa ripoti iliyochapishwa nchini Taiwan na gazeti la United Daily News kwamba kampuni ya Apple itazindua simu mpya yenye laini mbili kwa soko la nchini Uchina pekee.

buy priligy in uk

best place to buy propecia online Simu hiyo ambayo bado haijajulinana wazi, inatarajiwa kuwa na kioo cha LCD cha ukubwa wa inchi 6.1 ikiambatana na simu nyingine.

cheap priligy Taarifa za tangu mwezi Aprili 2018 zilieleza mpango wa Apple kuja simu yenye laini mbili kwa mara ya kwanza na hili lilipata nguvu zaidi wakati mfumo endeshi wa simu za iPhone wa iOS toleo la 12 lililopotoka na kuonesha lipo jambo la namna hiyo.

Katika uzinduzi wa simu za iPhone kwa mwaka 2018 zinatazamiwa kutoka simu za matoleo matatu; iPhone ya inchi 5.8, 6.5 na 6.1 ambayo itakuwa inatumia kadi mbili za imu.

laini mbili

Muonekano wa iPhone kwa toleo la mwaka 2018.

Kwa mwaka 2018 simu za iPhone mbili kati ya matoleo yatakayotoka yatakuwa na kioo cha OLED na toleo jingine likiwa na LCD.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  JIHUDUMIE: Huduma mpya kubatilisha muamala
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.