Jinsi Kuzuia Mtu Kujua Kama Umesoma Ujumbe ktk WhatsApp

1
Sambaza

Risiti za ujumbe kupokelewa ni alama ya kuonesha kwamba ujumbe uliotumwa umepokelewa na muhusika na huwakilishwa na alama ya vema mbili za blue maarufu kama blue ticks.

go to link Mtumaji wa ujumbe huoneshwa alama ya vema mbili zikiwa na rangi ya bluu na hii huashiria kuwa ujumbe sio tu umemfikia mlengwa bali pia umefunguliwa, huduma hii ilikosolewa saana na wakosoaji kwa kuwa ilikuwa ikiingilia faragha ya watumiaji wa WhatsApp.download (1)

source Je unachukizwa na risiti za ujumbe kusomwa!? hupendi wanao kutumia ujumbe wataarifiwe pindi unapoufungua ujumbe huo!? Kama jibu ni ndiyo basi upo mahali sahihi, makala hii itakusaidia ili uweze kuondoa risiti hizi za ujumbe kusomwa hivyo kuwaondolea uwezo wanaokutumia ujumbe kujulishwa pindi unapozisoma jumbe zao.

SOMA PIA:  AppStore: Apple yaondoa VPN kwa simu za iPhone nchini China

azioni binarie siti online. full hookup rv sites in colorado. http://weki.com.np/?timer=forex-personalizzato-on-line&49d=d6. fare soldi online con opzioni source Menu —-> Account —->Privacy

1. Nenda katika menyu kuu ya simu yako na kisha bonyeza kwenda katika sehemu ya mipangilio(settings)image5

2.Chagua Account
image6

3.Chagua privacy

IQ Option è un broker ampiamente conosciuto e in forte crescita per il commercio con opzioni binarie. Le Top 10 des brokers pour les click. image2

go Pamoja na mambo yote ukiwa katika kurasa hii utona sehemu iliyo andikwa read receipts ondoa alama ya pata katika kiboksi kilichopo mbele (kwa wanaotumia mfumo wa android) na kama unatumia mfumo wa iOS basi kiwashe hicho kitufe.image3

SOMA PIA:  Leo ni miaka 10 ya Hashtag - #, unajua nini maana yake?

libri trading gratis Angalizo hii njia haitaondoa risiti za ujumbe unaopokelewa katika makundi ya Whatsapp hii inamaana kwamba kama utafungua na kusoma ujumbe unaotumwa katika makundi basi wote walio ndani ya kundi hilo watajua muda ulioupokea ujumbe huo.

Je, wewe unaona jambo hili la mtu mwingine kujua pale unaposoma ujumbe wake ni jambo zuri au linaingilia faragha?

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

1 Comment

  1. commenti negativi su opzioni binarie - Come giocare in borsa org. Soccer, Flag Football, T-ball & Coach Pitch. Spring 2018 Season: March 10 – May 19. REGISTRATION opens December 31 Practices begin the week of February 26. Soccer Divisions: ages 4–18; Flag Football: ages 6–14; T-ball: ages 5–6; Coach Pitch Baseball: Ages 7–8; Get details on all our leagues here. hiyo jinsi ya kujitoa kwenye group la watsApp nimetry ila imegoma kwanini??

Leave A Reply

www spotoption com

enter site

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com