Jinsi ya ku-unlock modem na kuweza kutumia sim card yoyote - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Jinsi ya ku-unlock modem na kuweza kutumia sim card yoyote

0
Sambaza

Kutokana na ukuaji wa kasi wa matumizi ya intaneti kumepelekea makapuni ya simu za mikononi kubuni matumizi ya modem kwa ajili ya kuweza kupata huduma ya intaneti.

Ingawa kuna makampuni mengi ya simu na kila kampuni ina modems zake na ushindani pia kuchukua nafasi yake kwa kila kampuni kuwa na huduma ya vifurushi vitakavyowavutia wateja. Suala la kujiuliza ni je, buy metformin er utakuwa na modem kutoka kila kampuni kwa sababu huduma zao zimekuvutia buy erythromycin for fish Hapana, jambo la kuzingatia ni kuwa na 300 mg Quetiapine modem moja ambayo itakuwezesha kutumia line yoyote.

Hapa tutakuelekeza kwa kutumia Huawei E173, fuata maelekezo kulingana na aina ya modem yako.

Modem ya Huawei E173 U-1

Modem ya Huawei E173 U-1

Jinsi ya ku-unlock Huawei E173 modem

 1. Pakua programu wezeshaji iitwayo  Huawei ‘Mobile Partner kwa ajili ya Windows OS kama unatumia Windows kwnye kompyuta yako. Baada ya kuopakua ‘right click’ kisha bofya ‘Run as administrator‘. Kisha fuata maelekezo mpaka mwisho na kuistall.Mobile_Partner_01-1024x575
 2. Weka sim card kwenye modem ambayo ni tofauti na kampuni ya simu; kama ni modem ya Airtel weka sim card ya Tigo, Voda, n.k ila sio line ambayo ni kutoka kampuni hiyohiyo inazotoa modem unayotumia kisha subiri mpaka iwe detected. Usiinstall programu (mobile partner) iliyokuja na modem.
 3.  Pakua na kuinstall DC Unlocker ya hivi karibuni. Kisha ifungue na kuchagua ‘Huawei‘ pia, chagua ‘Auto detect(recomended)‘ kisha bofya kitufe cha kutafuta(search).Huawei_E173U-1_06
 4. Funga mobile partner pamoja na DC Unlocker kisha download Firmware toleo la hivi karibuni. Ondoa mafaili hayo katika mkusanyiko wa pamoja(zip) kisha right click kwenye setup na ifungue kama administrator. Install mpaka mwisho wa mchakato mzima wa installation.Firmware
 5. Restart DC Unlocker. Kisha ifungue na kuchagua ‘Huawei‘ pia, chagua ‘Auto detect(recomended)‘ kisha bofya kitufe cha kutafuta(search).

  Kabla ya modem kufunguliwa lakini firmware ikiwa updated

  Kabla ya modem kufunguliwa lakini firmware ikiwa updated

 6. Ili kuweza kufungua modem yako inabidi ulipie pesa kidogo kama Tsh 9,000 kwa kutumia Paypal kisha bonyeza severs kuweza kuweka username na password ambayo utatumiwa kwenye email address yako.Huawei_E173U-1_15 (1)
 7. Bonyeza ‘Unlock‘ kisha chagua ‘Read Unlock Code and auto enter to modem‘ halafu bonyeza ‘Do job‘.
 8. Huawei_E173U-1_16Bonyeza sehemu ya kutafuta(search) kuhakiki kama modem yako imfunguka na utaona sehemu ya ‘Sim lock status‘ imeandikwa imefunguliwa (unlocked).

Huawei_E173U-1_17

Kwa kufuata hatua hizo utakuwa umeweza kufungua modem yako na kuweza kutumia sim-card yoyote kwenye modem yako? Je, umefanikiwa ku-unlock? Tuambie katika comment. Daima TeknoKona inajalali.

Vyanzo: Miapple.me pamoja na mitandao mingine mbalimbali.

 

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Mechi za La Liga kuonyeshwa bure na Facebook
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.