Jinsi ya Kulogout Skype sehemu uliyoisahau! #Maujanja

0
Sambaza

Leo fahamu jinsi ya kulogout Skype sehemu uliyoisahau au ata kama kompyuta au simu hiyo hauna uwezo wa kuifikia tena.

Ni kweli kuna mara nyingi inaweza tokea mtu kujisahau kulogout kutoka kwenye huduma unayotumia.

Kwa kifupi hawajaweka mfumo huo eneo moja kwa moja ndani ya app yake ila itakuitaji hatua fupi tuu.

Jinsi ya Kulogout Skype sehemu uliyoisahau!

Jinsi ya Kulogout Skype sehemu uliyoisahau!

Nenda kwenye mazungumzo yeyote (chat) ambayo unayo na mtu au kundi la watu ndani ya app/programu ya Skype.

  • Andika
/remotelogout

 

  • Kisha tuma
SOMA PIA:  Microsoft: Kompyuta za kisasa zaidi kukosa updates za Windows 7 na 8.1

Ujumbe huu hautaonekana na mtu yeyote katika mazungumzo/chat zako na wao bali kitakachotokea ni kwamba mfumo mzima wa huduma ya Skype utalogout kwenye simu, kompyuta au tableti zingine zozote ulizokuwa umelogin bado. Itakayobakia imelogin ni hiyo tuu ambayo umeitumia kutuma ujumbe huu.

Soma makala zingine kuhusu kuhusu maujanja mbalimbali -> Teknokona/Maujanja

Je ushawahi jikuta katika kusahau kulogout huduma gani nyingine? Tuambie na tutakufundisha nini cha kufanya.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com