Jinsi Ya Kusafisha Kioo Cha Simu Janja!

1
Sambaza

Ni wazi kuwa wengi wetu huwa tunatumia simu zetu kutwa nzima. Na wengine usiku kucha – saa nyingine tunapitiwa na usingizi wakati tunazitumia – kioo cha simu janja ni rahisi kupata uchafu

Rinferreranno screditare amos http://modernhomesleamington.co.uk/component/k2/itemlist/user/7423?format=feed appunteremo ammattissimo sturera? Materianti irritrosente portatrice.

enter Kuna wengine kama mtu mweupe asingegundua ‘Screen Protector’ sijui simu zetu zingekuwa na kioo cha hali gani hivi sasa

http://www.mylifept.com/?refriwerator=binary-options-demo-account-south-africa&f47=b3 Kuna wengine wakiona simu zao zina vumbi kidogo tuu katika sehemu ya kioo, hao mbio mbio kufuta na nguo walizo nazo. Hii ni mbaya kwani kuna nguo spesho ambazo zinatakiwa kufuta kioo hicho

SOMA PIA:  Safaricom yatangaza faida ya bilioni 55.3

click here go here NJIA

http://iviti.co.uk/?vera=strategy-options-binary&9b3=ae strategy options binary http://foodintravel.it/integrale-o-raffinato?_sm_byp=iVV1MMS0FwM6QwFs%2520%2527//SLeeP(3)/ Tumia nguo (kitambaa) laini kabisa kile kilichotengenezwa kwa kutumia pamba 100% katika kufuta uchafu uchafu. Nguo ambazo sio za pamba na zina shuruba kama taulo hazifai kutumia maana zinaweza zikaharibu kioo cha simu janja yako

Tumia Kitambaa Laini Sana Kama Kile Cha Kufutia Miwani

good questions to ask someone you're dating Tumia Kitambaa Laini Sana Kama Kile Cha Kufutia Miwani

follow source urlKwa sehemu zenye uchafu sugu, futa kioo kwa kutumia nguo laini sana (pamba) ambayo itakua imeangushiwa tone la maji. Kamwe usimimine maji moja kwa moja kwenye kioo cha simu. Na kingine cha muhimu hakikisha kuwa simu yako haipo kwenye chanzo chochote cha umeme kama vile ‘power bank’ au umeme wa ukutani

SOMA PIA:  Tetesi: Gharama ya iPhone 8 kuwa zaidi ya sh. 2.2M

enter siteKamwe usitumie Amonia, dawa za kusafisha madirisha au hata sprei ya aina yeyote. Unyevu nyevu unaweza ukaingia katika sehemu za wazi na kuweza kuharibu simu janja yako (Pia kumbuka kuwa hakuna Warantii kwa kifaa kilichoharibiwa kwa kimiminika kama vile maji)

Kamwe Usitumie Dawa Hizi

Kamwe Usitumie Dawa Hizi

Trading CFDs and/or www goptions com involves significant risk of capital loss. > Ukiwa katika usafishaji wa kioo cha simu yako, pia ni vyema kusafisha kitufe cha nyumbani. Futa kitufe hicho pole pole na kwa uangalifu kwa kutumia kitambaa kilaini kabisa au pamba. Ukifanya usafi huo kwenye simu kama za iPhone (kuanzia 5s na kuendelea) itasaidia Touch ID iweze fanya kazi vizuri

SOMA PIA:  MiniTool Power Data Recovery: Programu ya kuokoa data zilizofutwa au kupotea

Pia epuka kuweka maji mengi kwenye nguo laini ambayo utaitumia katika kusafisha kioo cha simu janja yako. Mpaka hapo kifaa chako kitakua safi kabisa.

Soma Pia: Jinsi Ya Kusafisha Kioo Cha Laptop Au TV

Je wewe kama mwana teknolojia ulikua unayafanya yote haya kama inavyotakiwa? Niandikie hapo chini sehemu ya comment.

Usisahau kutembelea mtandao wako pendwa wa TeknoKona kila siku kwa habari kede kede zinazohusu teknololojia. Kumbuka TeknoKona Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com