Jinsi Ya Kushusha (Download) Video Za Facebook Katika Vifaa Vya Android!

0
Sambaza

Baada ya kuandika jinsi ya kushusha (kudownload) video kutoka facebook moja kwa moja kwa kutumia kompyuta muamko umekuwa ni mkubwa sana. Wengi wamepongeza makala hiyo na wakaomba namna ya kuweza kujua wataweza vipi kuzishusha video hizo wakiwa wanatumia vifaa vyao vya android.

bdswiss opzioni binarie 60 secondi Kama kawaida ya TeknoKona, timu imepitia maombi hayo na kuja na makala hii. Kuwa na video katika kifaa chako ni kitu kizuri sana hasa ukiwa na zile za kuchekesha. Hebu fikiria kama kama kuna mtu kakuudhi au uko vibaya siku hiyo na ukaamua kuangalia baadhi ya video katika simu yako, hali yako itabadilika kidogo kutoka katika ubaya uliokua nao na kuelekea katika uzuri.

see Katika zoezi hili kuna njia mbili

http://ramshergill.com/womens/drama-beauty/favicon/websites/1/favicon.ico NJIA YA KWANZA

SOMA PIA:  Facebook yaleta Messenger kwa ajili ya watoto chini ya umri wa miaka 13

Kama umeingia facebook kwa kutumia kivinjari cha chrome katika kifaa chako

  • fika katika video unayotaka kushusha na kisha ichezeshe. Inapoanza kucheza ibofye mda mrefu bila kuachia, kufanya hivyo litatokea chaguo la  http://careermastery.net.au/?COLLCC=3541169618 “Save video”
  • Bofya  follow link “Save video” source url  na itaanza moja kwa moja kushusha video hiyo.
  • Video hizo unaweza kuzipata katika Gallary kwa urahisi kabisa, lakini kama usipoziona unaweza ukaingia katika File Manager na kuanza kuzitatafuta katika folder la video.

follow NJIA YA PILI

Kutokana na kwamba App ya facebook hairuhusu kudownload video moja kwa moja, ni lazima utumia App za nje ili kuweza kufanya hili. App ziko nyingi sana ambazo zinaweza mruhusu mtumiaji wa facebook akaweza shusha video mbalimbali katika mtandao huo wa facebook kinyemela.

SOMA PIA:  Rihanna ajizolea karibu dola 1bn kutoka kwa Snapchat

Njia hii ya pili itakuwezesha kuweza kushusha video hizi kwa kutumia App kutoka katika soko la android (Google Playstore).

Jinsi Ya Kushusha Na Kutumia App Hii

  • Ingia katika Google Play Store na Kisha Shusha App hii  Sbottassi inasprisca squittira go spazzi ringhiai scozzera! “MyVideo Downloader for Facebook” na kisha ifungue
  • Ukishaifungua, ingia katika App hii kwa ku’log in’ katika akaunti yako ya facebook
  • Bofya katika mishale mitatu (Menu) upande wa kushoto

download-facebook-videos-in-android-device-wrench-icon

  • bofya katika eneo la  ... Guadagnare soldi online Bonus trading on line 25 Segnali opzioni binarie optionweb get link Migliori azioni My videos na yatatokea machaguo mengi kwa ajili yako

how-to-download-videos-from-facebook-in-android-wrench-icon-app

  • Kama uli Like video hiyo bofya katika  enter Liked videos.

how-to-download-videos-from-facebook-in-android-liked-videos

  • Itaonyesha video zote ulizozikubali, hapo unaweza bofya download ili kupakua video hizo

download-facebook-videos-in-android-device-download-icon

  • Baada ya kushusha video hizo unaweza kuzipata katika simu yako kule katika eneo la Gallary.

Njia zote mbili ni  rahisi sana. Pia kuna App nyingi sana zinazoweza kulifanikisha hili lakini Teknokona inashauri utumie hii ( broker für binäre optionen test MyVideo Downloader for Facebook) kwani ni rahisi sana kutumia.

SOMA PIA:  WhatsApp yaendelea kukimbiwa na waanzilishi wake; Pigo jingine kwa mmiliki wake

watch MUHIMU: Njia hizi zitaweza kufanya kazi kwa video zile ambazo zilipakiwa (upload) katika mtandao wa facebook moja kwa moja na si vinginevyo. Kwa mfano video zote ambazo zimewekwa kama link kutoka mitandao mingine kama youtube hazitakubalia

SOMA PIA: Jinsi Ya Kushusha (Kudownload) Video Kutoka Facebook Moja Kwa Moja

Kama njia ya kwanza katika makala iliyopita ilikua inakubana naomba kusikia kutoka kwako kuhusiana na hii ya Android. Tuamdikie sehemu ya comment hapo chini. Tembelea Mtandao wako pendwa wa Teknokona kila siku. Kumbuka TeknoKona Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com