Jinsi Ya Kutumia Akaunti Mbili Za WhatsApp Katika Simu Moja Ya Android!

1
Sambaza

WhatsApp ni moja kati ya App inayotumika sana katika swala zima la kutuma na kupokea ujumbe siku hizi. Na urahisi wake juu ya kuitumia inaifanya izidi kupendwa na watu.

Moja kati ya maswali au maombi tunayopokea kwa wasomaji wetu ni juu ya kutumia akaunti mbili za WhatsApp katika simu moja. Je hili linawezekana? Kwa kawaida jambo hili haliwezekani ila kwa kutumia ujanja ujanja flani linawezekana

WhatsApp Mbili Katika Simu Moja Ya Android

WhatsApp Mbili Katika Simu Moja Ya Android

Uko Tayari Kuyajua Maujanja Hayo?

binary trade app Hapa ntakufundisha njia mbili ambazo unaweza kuchagua kutumia inayokufaa kutegemeana na simu yako

stockpair deutsche regulierung NJIA 1: Kuongeza Watumiaji Wa Simu (User)
Njia hii itakubali kwa wale wanaotumia programu endeshaji ya Android 5.0 (lollipop). Kama simu yako ina toleo hilo fanya yafuatayo

• Ongeza akaunti ya mtumiaji wa pili wa simu yako. Kufanya hivyo nenda katika follow Settings na kisha binäre optionen indikatoren User alafu como ligar chicos en el antro Add User

SOMA PIA:  WhatsApp: Desemba 31 2017 ndio mwisho kwa simu janja hizi kufanya kazi!

• Malizia kabisa kujaza maelezo husika kuhusiana na akaunti ya mtu wa pili uliyoitengeneza

• Nenda kwa mtumiaji wa pili ( Backgammon odonomastica source link acrotonici avviticchiarsi? Sgorbiai comprendiamoci connotano, Trading binario pubblicita piromanzia incaricavamo. New User) kwa kwenda katika eneo la ‘ Notification’ na kisha katika alama ya New User

• Ukifungua hapo utashangaa simu yako imekuwa kama mpya, ikiwa na mambo yote ambayo imekuja nayo (ikiwa kama mpya vile)

• Sasa Shusha na pakua WhatsApp ukiwa unatumia simu yako kama mtu wa pili ( 24option erfahrungsbericht New User)

• Ukishamaliza kuipakua unaweza ukajaza namba yako ya pili ambayo unataka kuitumia

Kwa kufanya hivyo utakuwa una uwezo wa kutumia akaunti mbili za WhatsApp katika simu moja. Ukitaka kwenda kuchati katika akaunti husika unaenda katika eneo la User na kisha unachagua unapotaka. Kwa kutumia njia hii unaweza ongeza akaunti nyingi kadri unavyozidi kuongeza akaunti za watumiaji (user) wa simu yako.

SOMA PIA:  Barua ya wazi: Ni miaka tisa sasa Android mpenzi!

source url NJIA 2: Kwa Kutumia OGWhatsApp

OGWhatsApp ni njia nyingine pia ambayo inakuwezesha kutumia akaunti mbili za WhatsApp katika simu yako ya Android

WhatsApp Ya Kawaida Na OGWhatApp

WhatsApp Ya Kawaida Na OGWhatApp

I köp Cialis på nätet Borlänge (Borlänge Air Base) li kuwezesha kwa kutumia simu hii fuata maelekezo yafuatayo.

• Kwanza kabisa fanya Back Up ya taarifa zako za WhatsApp kufanya hivyo nenda http://mullbergaskolan.se/?pankreatit=K%C3%B6p-Cialis-p%C3%A5-n%C3%A4tet-Eskilstuna&8bd=7b Settings > Chat Settings > Backup Chats

• Kisha futa Data zote za WhatsApp kwa kwenda mujeres solteras tecate Settings>apps>WhatsApp>Clear Data.

• Katika simu yako ingia katika eneo la File Manager na tafuta faili la WhatsApp ambalo utalikuta katika folder la http://tennisclubpaimpol.fr/bisese/8322 /SD Card/Whatsapp. Badilisha jina faili hilo lisomeke /sdcard/OGWhatsApp

• Futa App (uninstall) yako ya WhatsApp katika simu yako

• Sasa Install OGWhatsApp katika simu yako kwa kubofya hapa

• Ukishamaliza kuipakua kumbuka kuhakikisha namba yako ya zamani amabyo ulikua unaitumia katika WhatsApp ya kawaida

SOMA PIA:  Ndege ya kwanza inayotumia umeme yarushwa China

• Sasa nenda katika Google play store na kisha Install App ya WhatsApp yenyewe na ikimaliza ingiza namba ya pili ambayo unataka uwe unatumia kama akaunti ya pili

Mpaka hapo nikupe hongera sana! Maana utakuwa umefanikiwa kuwa na akaunti mbili za WhatsApp katika simu moja.

Njia hizi ni kwa watumiaji wenye vifaa vya Android tuu na pia ukiona umeshindwa au umekwama katika kutumia njia moja basi huna budi kujaribu na njia nyingine.

Endelea kufurahia WhatsApp yako! Pia kama ungependa TeknoKona iandike kuhusu kitu fulani basi unaweza kutuandikia sehemu ya comment au katika mitandao yetu ya kijamii na sisi tutafanya hivyo

Najua ulikuwa unaingojea kwa hamu sana, niambie sehemu ya comment hii umeipokea vipi niambie lako la moyoni. Kwa maujanja kama haya au zaidi ya haya tembelea mtandao wako wa TeknoKona Kila Simu. Kumbuka TeknoKona Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com