Jinsi Ya Kutumia Bitmoji Katika Snapchat!

0
Sambaza

Snapchat mpaka sasa umekua ni mtandao wa kijamii ambao unaangalia huku na kule katika kuhakikisha kuwa inaliteka soko.

go site

follow Ukiachana na kampuni hiyo kuwa katika michuano mikali na mitandao mingine ya kijamii kama vile Facebook na Instagram bado inazidi kujiboresha

click here Hapo awali tuliandika kuhusu: Snapchat Yainunua Kampuni Inayotengeneza Bitmoji

go site Bitmoji ni vikatuni katuni ambavyo mtu anaweza kutengeneza ambavyo kwa namna moja au nyingine vinakuwa vinafanana na mtu. Kwa urahisi ni sawa na kusema vikatuni hivi ni emoji ambazo zinafanana na mtumiaji wa emoji hizo

biggest online dating site australia http://kokiqq.net/?ruuw=signals-provider-binary-options&f9b=32 Tujifunze Jinsi Ya Kutumia Bitmoji Katika Snapchat Sasa!

SOMA PIA:  Facebook inapoteza vijana Marekani, Snapchat inazidi kuwapata

rencontres chartres operazioni binarie strategie 1. Tengeneza Akaunti Ya Bitmoji

source Kama wewe ni mgeni wa Bitmoji, anza kwa kushusha App ya bure ya Bitmoji iOS na Android alafu anza kutengeneza kikatuni. Log In kwa kutumia akaunti yako ya Snapchat na kisha anza kufuata maelekezo.


Utaweza kutengeneza kikatuni cha jinsia ya kiume au ya kike na unaweza ukakimalizia kwa kuweka rangi ya ngozi, nywele, macho na hata muonekano. Ukimaliza hapo hakikisha unaunganisha Bitmoji na Snapchat

Una delle domande ricorrenti che mi vengono fatte tramite email è come e go to link 30000 euro in questo momento. Naturalmente a 30000 euro potete 2. Kwa Wale Ambao Tayari Wana Akaunti Bitmoji

Kama ulikuwa tayari una akaunti ya Bitmoji cha kufanya ni rahisi sana kwani itakubidi tuu uunganishe akaunti hizo (Bitmoji na Snapchat). Nenda katika settings katika Bitmoji ili kuunganisha akaunti

SOMA PIA:  Maelfu ya watumiaji wa app ya SnapChat hawajapendezwa na sasisho jipya

opzioni binarie prova gratuita Jinsi Ya Kutumia Bitmoji Katika Snapchat

Watumiaji wa Snapchat wanaweza wakatuma bitmoji zao na hata emoji zingine wakiwa katika uwanja wa kuchat. Ukiwa katika Snapchat fungua sehemu ya Chat na kisha ingia kwa mtu unaetaka kumtumia bitmoji. Bitmoji utaweza kuipata kupitia kile kialama cha uso

Kama ukitaka Snap zako ziwe na bitmoji ingia sehemu ya kupiga picha au kuchukua video. Piga picha kama kawaida na kisha ingia sehemu ambayo huwa unapata stika, sogea upande wa kulia mpaka utakutana na Bitmoji

SOMA PIA:  Rihanna ajizolea karibu dola 1bn kutoka kwa Snapchat


Pia watumiaji wanaweza wakatumiana stika za ‘Friendmoji’ wakati wakiwa wana chat na marafiki zao ambao pia wana akaunti za Bitmoji

Jambo hili lisikushangaze kwani hili lote linakuja baada ya Snapchat kuinunua kampuni ya Bitstrip kwa dola milioni 100 za kimarekani mwezi machi.

Niandike sehemu ya comment hapo kama na wewe umeweza kutengeneza Bitmoji yako. Kama umepata changamoto yeyote, mwagika sehemu ya comment hapo chini

Tembelea TeknoKona kila siku kwani ndio mtandao namba moja kwa mambo yote yanayohusu Teknolojia Tanzania. Kumbuka TeknoKona Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com