Jinsi gani Uchina inavyotumia kompyuta na kamera kuwakamata wahalifu

Jinsi gani Uchina inavyotumia kompyuta na kamera kuwakamata wahalifu

0
Sambaza

Serikali ya China kupitia jeshi lake la Polisi wamefunga zaidi ya kamera milioni 176 kwenye maeneo mbalimbali nchini humo ili kuweza kukabiliana na matukio ya kihalifu kabla hayajatokea.

here

Kamera hizo pamoja na kompyuta zenye http://ryanmortgage.com/wp-json/oembed/1.0//"http:////ryanmortgage.com//team-details//harry-coffey///" weledi wa hali ya juu (Artificial Intelligence) zitaweza kutambua sura za watu na kitu wanachotaka kufanya kabla ya wao hawajatimiza dhima la kufanya tukio hilo.

Jinsi gani Uchina inavyotumia kompyuta na kamera kuwakamata wahalifu

Teknolojia ya Artificial Intelligence inaipa uwezo mkubwa kompyuta kuweza kuchanganua mambo na kutolea maamuzi yenyewe pasipo kuwepo mtu wa kuiamuru.

Jinsi kamera hizo zinavyofanya kazi.

Kamera zitakuwa zinachukua matukio ya mtu kisha kompyuta itaweza kuchanganua matendo yake na kuweza kubainisha yenyewe kama huyo mtu ni muhalifu au si mhalifu na kama ikigundua ni mhalifu basi kompyuta itatoa taarifa polisi haraka sana ambapo wao polisi wataweza kukabliana naye kabla hajafanya tukio.

Kwa mfano mtu akionekana kwenye kamera anakwenda kununua kisu dukani hatotiliwa mashaka na kompyuta hizo, ila mtu huyo huyo akionekana tena karudi kununua nyundo na gunia basi priligy generic cheap kompyuta itatoa taarifa polisi ili mtu huyo aweze kufuatliwa kwani inawezekana anataka kwenda kufanya mauaji.

kuwakamata wahalifu

Kamera ni zaidi ya zile tulizozizoea kuziona maeneo mbalimbali kwa ajili ya usalama wa vitu mbalimbali.

Matumizi ya kamera yamekuwa yakiongezeka maeneo mbalimbali duniani na hii ni katika kuongeza jitihada katika kupambana na vitu mbalimbali ambavyo vitapunguza matumizi makubwa ya vitu mbalimbali kuweza kukabliana navyo.

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Njia rahisi ya kutunza au kutafuta ukurasa uliouhifadhi kwenye kivinjari
Share.

About Author

Technology enthusiast

Comments are closed.