Kaa Tayari! Simu Yako Itaweza Kutambua Ngumi, Sikio, Pua n.k na Kujifungua (Unlock)

1
Sambaza

Kampuni ya Yahoo imefanikiwa kutengeneza teknolojia mpya inayotambulika kama ‘Bodyprint’ kutambua sehemu/viungo mbalimbali vya mwili wa mmiliki na kuondoa ‘lock’ yake. Ebu fikiria simu iweze kuji ‘unlock’ pale ngumi, sikio au ata kidole chako kikiwa karibu.

http://carbonbikerepair.com.au/?encifkodf=come-si-chiama-l-app-che-guadagna-soldi-sul-gioco-arcane-legends&b4f=9e Kwa sasa hivi kuna njia mbalimbali za kuondoa ‘lock’ ya simu kama vile kwa kutumia namba, yaani ‘code’, au kutumia michoro na simu za kisasa zaidi zinakuwa na teknolojia ya kufungua kwa kutambua alama za vidole, yaani ‘Fingerprint sensor’.

SOMA PIA:  Google Inaweza Ikabadilisha Muonekano Wake Katika Simu Janja!

follow url Inasemekana utumiaji wa http://palaceestate.ro/testimonials-widget-sitemap.xml teknolojia ya Fingerprint sensor ni ghali sana na inafanya simu zenye teknolojia hii ya alama za vidole kuwa bei ghari sana, lakini teknolojia hii itakuwa na unafuu mkubwa kwani itakuwa inatumia kioo cha simu janja kutambua viungo hivyo vya mtumiaji.

Ukigusisha kiungo chako kama vile kidole, n.k kioo cha simu yako kitarekodi muonekano wa kiungo husika

here alert super pro trading Ukigusisha kiungo chako kama vile kidole, n.k kioo cha simu yako kitarekodi muonekano wa kiungo husika

here Yahoo wameitambulisha teknolojia hiyo katika kongamano la masuala ya teknolojia za kompyuta huko nchini Korea kusini katika jiji la Seoul. Zoezi zima la simu kuji’unlock’ litachukua chini ya sekunde moja baada ya wewe kuweka simu yako kwenye umbo hilo la mwili. yaani iwe ni sikio, pua au sehemu ya mwili nyingine.

SOMA PIA:  AlterEgo: Kifaa kitakachosikia maneno unayoyasema bila ya wewe kuongea. #MIT

simple trade opcje binarne forum Pia katika mipangilio yako, (settings) http://freejobseeker.com/page/11/?q=lowest-prices-viagra utaweza kuweka zaidi ya kiungo kimoja na pia kama simu hiyo mnatumia watu wawili au zaidi basi mnaweza kuweka rekodi ya viungo vyenu wote na hivyo yeyote kati yenu kuweza kuifungua.

binäre optionen nzz Yahoo bado hawajasema itachukua muda gani wao kuanza kuwauzia teknolojia hii watengenezaji simu ila inategemewa kuanza kutumia muda si mrefu.

Je una maoni gani juu ya teknolojia hii? Je wewe utatumia kiungo gani? 🙂 Endelea kutembelea mtandao namba moja wa habari za teknolojia na maujanja mbalimbali, TeknoKona!

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

http://palsambleu.fr/?dimyrewsy=rencontres-ile-maurice&293=64 Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

1 Comment

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com