Kadi janja kwa ajili ya Usafiri wa Mabasi ya Mwendo Kasi zaanza Kuuzwa

Kadi janja kwa ajili ya Usafiri wa Mabasi ya Mwendo Kasi zaanza Kuuzwa

0
Sambaza

Kwa watu waliokweishatumia usafiri wa mabasi ya mwendo kasi jijini Dar es Salaam basi wanajua moja ya changamoto kubwa iliyokuwepo ni ukataji wa tiketi. Kadi janja kwa ajili ya usafiri wa mabasi hayo zaanza kupatikana.

buy amoxicillin online uk next day delivery

enter Kadi janja kwa ajili ya Usafiri wa Mabasi

Kadi janja hizo (Smart cards) zitasaidia kwa kiasi kikubwa katika kupunguza foleni za ununuaji tiketi kila pale unapotaka kutumia usafiri huo. Kupitia kadi hiyo utaweza kuweka salio la kati ya Tsh 5,000 hadi Tsh 30,000 na kisha utakuwa unakatwa kwa kila safari utakayokuwa unasafiri katika huduma hiyo ya mabasi ya mwendo kasi.

Kampuni ya Maxicom ndio inayosimamia teknolojia hiyo. http://findmybutler.com/?ntd_submission=marcus-5 Utaweza kupata kadi janja hiyo kwa sh 5,000 na Tsh 4,500 inaingizwa moja kwa moja kwenye kadi hiyo tayari kwa kuanza kutumika katika kulipia safari na hivyo kufanya gharama ya kadi hiyo kuwa ni Tsh 500 tuu.

INAYOHUSIANA  TCRA kuinyang'anya leseni StarTimes

Kuweka pesa katika kadi hiyo kutaweza kufanyika kupitia huduma za malipo ya simu, vituo vya Max Malipo na ata kwenye vituo vya mabasi hayo.

Kurahisha mambo, ndio moja ya faida kubwa ya teknolojia! Usisahau kuungana nasi kupitia Twitter, Facebook na Instagram

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Comments are closed.