Kampuni ya Uber yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya

Kampuni ya Uber yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya

0
Sambaza

Kampuni ya Uber yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya. Dara Khosrowshashi, mmarekani mwenye asili ya Iran amekuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni ya usafiri ya Uber.

follow site Khosrowshashi ambaye alikuwa mtendaji mkuu wa kampuni ya huduma za usafiri mtandaoni ya Expedia, Jumanne iliyopita alithibitisha kuwa angekubali nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Uber.

best place to buy topamax Khosrowshashi alitangaza nia yake ya kuchukua uongozi wa kampuni ya usafiri ya Uber yenye makao makuu yake huko San Francisco alipofanya mahojiano na Wall Street Journal na Bloomberg.

Kampuni ya Uber yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya

where can i buy erythromycin tablets Kampuni ya Uber yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya: Mkurugenzi Mtendaji wa uber Dara Khosrowshashi

Bodi ya wakurugenzi wa Uber walipiga kura Jumapili usiku kumpendekeza Khosrowshashi.

INAYOHUSIANA  Rais Kagame azindua gari la kwanza lililounganishwa Rwanda

Mwaka huu wa 2017, Uber imehusishwa na kashfa kuhusiana na madai ya watendaji wake kuunga mkono utawala wa Rais Donald Trump na mashtaka ya unyanyasaji wa kijinsia katika makao makuu ya kampuni hiyo.

Ushirikiano wa Uber na Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Trump, Travis Kalanick, uliacha kampuni hiyo mwezi Juni katika wakati mgumu.

Lakini Kalanick atabaki kwenye bodi ya Uber na anamiliki kiasi kikubwa cha hisa za kampuni hiyo. Kwa sasa ameshtakiwa na mwanachama mwingine wa bodi ya Uber, Benchmark Capital Partners, ambaye anamshtaki kwa udanganyifu.

Uber yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya

Kupitia jarida la Los Angeles Times, Msemaji wa Kalanick ametupilia mbali madai hayo , akisema kuwa mashtaka hayo hayakuwa ya ukweli na yamejaa uongo.

INAYOHUSIANA  Facebook yalegeza masharti kuhusu matangazo ya sarafu za kidijitali

Ingawa Uber imepunguza hasara kwa kipindi cha robo ya mwaka, lakini imepoteza dola 645 milioni kwa mapato ya dola 1.75 bilioni wakati wa robo ya pili ya mwaka huu.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.