Kasoro yabainika kwenye Samsung Galaxy S9 na S9 Plus - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Kasoro yabainika kwenye Samsung Galaxy S9 na S9 Plus

1
Sambaza

Samsung ambao wameendelea kutoa muendelezo wa simu kutoka familia moja na kuwa na kupata mauzo mazuri sokoni lakini mambo si mazuri sana kwa upande wa simu janja za Samsung Galaxy S9 na S9+.

buy propecia Finpecia online

http://coastaltoursofsandiego.com/private-tour/ Samsung Galaxy S9 na S9+ hazina muda mrefu sokoni lakini baadhi ya waliozinunua simu hizo wamelalamika kuwa zina matatizo fulani kwenye kioo cha mguso; ukibonyeza kuna maeneo inakubali kufanya kazi na sehemu nyingine hazifanyi kazi.

http://gunblog.deadcenterfirearmsllc.com/2015/07/your-ammo-sales-may-save-a-moose/ Tatizo hilo limekwenda mbali zaidi na kwa baadhi ya watu wenye simu hizo wanapta shida sana kuweza kutumia simu hizo kwani upande wa juu kabisa wa kioo wakibonyeza simu inashindwa kwenda kule ambapo mtumiaji amekusudia.

Kasoro yabainika kwenye Samsung

Tatizo la kwenye kioo cha mguso limeelezwa kuwa kubwa sana kwa wale wenye S9+ kuliko kwenye S9.

Kwa walio wengi tatizo hilo linaonekana zaidi wakitumia ule mtindo wa “Swipe” au wakitumia keyboard ambayo si ya kweli (virtual).

Kasoro yabainika kwenye Samsung

Tatizo kama hilo limeshawahi kutokea kwenye simu ya Google 2 XL na hata iPhone X ambao walileta masasisho kwenye programu endeshi kuondoa tatizo husika.

 Kwa wanaopenda kutumia njia ya kufuta kila kitu kwenye simu (factory reset) kama umekumbana na tatizo hili kwenye S9 au S9+ ni vyema ukafahamu haitokuwa suluhisho la kuondoa tatizo hilo kwenye kioo cha mguso.

Vyanzo: Gadgets 360, GSMArena

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Apple kununua vioo vya simu kutoka LG badala ya Samsung
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|