Kati Ya Pin Na Pattern, Kipi Bora? #Android #Usalama

0

Ufunguaji wa simu wakati ikiwa imelokiwa ulikua ni rahisi sana hapo mwanzo, lakini kumbuka kuwa ilikua ni rahisi vile vile kuweza kuibiwa taarifa zako kwani mtu angeweza kufungua kifaa chako kwa urahisi.

go here

go to site Teknolojia imekua na vilevile simu zetu zinahifadhi karibia kila kitu chetu mpaka vile vya siri. Je, ni njia gani ya msingi ya kuitumia kati ya ‘Pin au Pattern’ ili kujihakikishia usalama wa hali ya juu?

freund will eltern kennenlernen Simu nyingi za zamani kama vile Nokia na zingine ilikua inakuladhimu kubonyeza vitufe viwili kwa haraka ili kuweza kufungua simu hiyo (menyu na nyota). Lakini vipi kwa simu za kileo (simu janja), hapa ndipo habari nyingine inapokuja.

Pin na Pattern

http://poloclubmiddennederland.nl/lessen/feed Pin na Pattern: Jinsi Ya Kufungua Loki Ya Android Kwa Kutumia Pattern Vs Kutumia Pin

iOS Vs. Android.

follow site Apple kwa mara ya kwanza walianzia teknolojia ya ‘Slide to unlock’ ambayo Steve Jobs mwenyewe alisema ni njia rahisi ya kuzuia simu kujipiga au kujibonyeza yenyewe pindi ikiwa mfukoni mwa mtu. Vilevile Apple walikua na jinsi ambavyo mtumiaji wa vifaa vyake  anaweza kuweka loki (maarufu kama passcode) kwa kutumia pin nne (Sasa anaweza hadi kuweka pin sita).

Android

http://arghakhanchisaptahik.com/page/15 Tukija kwa Android njia maarufu ya kuweza kutoa ulinzi (lock) katika simu ni kwa kutumia ‘Pattern’ ambapo njia hii inasemekana sio ya kuisalama sana kama vile watu wanavyofikiria. Yaani kati ya kutumia Pin na Pattern ni quel site de rencontres gratuit choisir 2013 bora mtumiaji wa Android atumia Pin ili kujihakikishia usalama wa hali ya juu.

http://yoursportsmarketing.com/piceria/3588 Wataalamu wa ulinzi na usalama wa Marekani, Naval Academy wamefanya utafiti ambao umebainisha hilo pamoja na kushirikiana na chuo kikuu cha  Maryland Baltimore County. Katika utafiti huo iligundulika kuwa ni rahisi sana kushika Pattern za simu ya mtu pindi akiwa anafungua simu yake kuliko yule ambae anatumia Pin.

Kumbuaka katika Pattern ni rahisi sana kuweza kufuatilia njia ambayo mtu anapita katika kukamilisha Pattern hiyo lakini Pin ni ngumu kidogo kwani anarukaruka tuu.

horsham vic dating sites follow link KITU CHA KUFANYA

http://www.arthotelvarese.it/?yutie=investire-in-borsa-da-casa-opzioni-digitali&d25=a5 Kama ni mtumiaji wa Android, fanya juu chini http://orpheum-nuernberg.de/?bioede=bin%C3%A4re-optionen-panel&9ee=e6 uachana na kutumia ‘Pattern’ na uhamie katika ‘Pin’ tena utumie zile zenye tarakimu sita kwa usalama zaidi. Lakini vilevile labda dunia inapokwenda sasa hivi kutakua hakuna haja tena ya kuwa na ‘Pattern’, kwa sasa simu zinatolewa loki kwa kutumia alama za vidole vile vile hata kwa uso (iPhone X).

Nipe mawazo yako sehemu ya comment hapo chini. Hivi ni mara ngapi umebadilisha ‘Pattern’ ya simu yako kisa tu mtu kaiona na ulikua hutaki aijue?

Kumbuka Kutembelea TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com