Kifurushi cha Wiki: Cheka Zogo kutoka Vodacom

0
Sambaza

Come e go site Senza Rischiare a Ottobre 2017. Sapere come e dove investire i propri soldi in modo sicuro e redditizio sembra una questione molto Kuanziavodacom sasa tegemea kupata taarifa za mara kwa mara kuhusu vifurushi na gharama za mawasiliano kutoka makampuni ya simu na huduma zingine za namna hiyo kupitia Teknokona.

http://uplaf.org/wp-includes/css/modules.php Kwa leo tunakuletea vifurushi na gharama za mawasiliano kutoka Vodacom. Kwa ufupi makampuni mengi ya simu siku hizi yanavifurushi vya aina nyingi sana na wakati mwingine ata watumiaji/wateja tunapata shida kuvielewa au ata kuvijua. Tutajitaidi kuelezea vifurushi vingi zaidi kila pale tunapoweza kupata taarifa zaidi. Taarifa za hapa tumezitoa kwenye mtandao wao na vyanzo vingine.

Cheka Zogo ni kifurushi kinachowapa wateja wa Vodacom muda wa dakika za kupiga simu kwenda kwa wateja wengine wa Vodacom kwa gharama ndogo zaidi ukilinganisha na pale ambapo mteja atapiga bila kujiunga.

source url Cheka zogo inakupatia vifurushi vya muda wa maongezi tu na ni wakutumika kuwasiliana na wateja wa Vodacom tuu. Vifurushi lazima vitumike ndani ya masaa 24. Gharama inakuwa ndogo zaidi ukilinganisha na pale ambapo mteja atapiga bila kujiunga.

SOMA PIA:  Programu endeshaji ya iOS 11 iliyoboreshwa zaidi kwenye bidhaa za Apple

Vifurushi vipo kama ifuatavyo;

i: Dakika 30 kwa Tsh 495/=

ii: Dakika 45 kwa Tsh 645/=

iii: Dakika 90 kwa Tsh 995/=

Kwa Ufupi (Unachopata)
-Vodacom kwenda Vodacom
-Dakika za maongezi pekee

see Je ushawahi kutumia kifurushi hichi? Kumbuka kutufuata kupitia Twitter – Bofya na Facebook – Bofya

http://luenne.com/nikiow/3357  

http://www.sugaredstyle.com.au/?seltork=Employee-stock-option-exercise-date&7b5=a4  

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

http://vitm.com/SnLkgc-2X1d6As4b5R6j7_0B4u3Y+2394/ Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com