Kigogo wa Google ajiunga na Facebook

0
Sambaza

Amit Fulay aliyekuwa mkuu katika kampuni ya Google kwenye uzalishaji wa Programu za Allo na Duo ameondoka na kujiunga rasmi na Facebook.

go here

How To Get Viagra Prescription in Orlando Florida Taarifa ya kuondoka Google na kujiunga Facebook, Amit Fulay aliitoa mwenyewe kupitia ukurasa wake wa Twitter Jumanne wiki hii.

see Amit ni miongoni mwa watu muhimu waliohusika katika kujenga programu ya Hangout, Allo na Duo. Programu zote hizo ni mawasiliano ya watu kwa njia ya ujumbe wa maneno, sauti pamoja na picha za video.

http://bodowlaw.com/?biopeme=trading-conto-demo&f2e=bb Amit Fulay: Kigogo kutoka Gooogle aliyejiunga na Facebook.

source Bw. Amit fulay amedumu katika Google (kampuni) kwa miaka 7 na miezi 5 akiwa sehemu ya watu muhimu waliotoa mchango mkubwa ndani ya kampuni hiyo (Google).

Google hawajazungumza chochote kuhusiana na kuondoka kwa Bw. Amit Fulay na hakuna sababu iliyowekwa wazi ya kuondoka kwake.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
SOMA PIA:  Kampeni ya kutaka watu wafute akaunti zao za Facebook yaanzishwa
Share.

About Author

go Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com