Kipaumbele cha soko letu ni Afrika #Tecno

0
Sambaza

Bw. Andy Yan, Makamu Rais wa kampuni ya Transsion Holdings inayomiliki kampuni Tecno Mobile amesema soko la Afrika ndio kipaumbele cha kampuni yake kabla ya kufikia soko la ulimwenguni kote.

opciones financieras tesis

source site Takribani miaka kumi na miwili (12) iliyopita kampuni ya Transsion ilianza uwekezaji Afrika na siku zote wamekuwa wakiangalia masoko ya Afrika ya kati na Magharibi kwa namna ya pekee kutokana na fursa kubwa iliyoko huko.

Nchi za Ghana na Ivory Coast ni muhimu sana kwa soko la simu za Tecno ambapo kwa nchi ya Nigeria tayari soko kwa upande wa Tecno limeonekana kuwa kubwa na imara katika nchi yenye watu milioni 200.

Kipaumbele cha soko

source site Bw. Andy Yan, Makamu Rais wa Transsion Holdings inayomiliki Tecno Mobile.

How To Get Viagra Prescription in Baton Rouge Louisiana Bidhaa zao (Tecno) zimeendelea kununuliwa sana Afrika kwa watu wa matabaka tofauti tofauti kwa kuwa bei zao zimekuwa rafiki hata kwa watu wa kipato cha chini. Kadhalika, cerco autopzionibinarie voglio registrarmi kuongezeka kwa mapato na kushika soko la simu kwa baadhi ya nchi kadhaa Afrika imetokana na Tecno kuingia ushirikiano na kampuni kadhaa za mawasiliano katika nchi wazouza simu zao.

Kipaumbele cha soko

follow link Mpaka sasa Transsion Holdings ina maduka katika nchi 13 kutoka bara la Afrika.

Aidha, Tecno wameendelea kuimarisha soko lake kwa baadhi ya nchi katika bara la Afrika ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda na Ethiopia.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
SOMA PIA:  Samsung yazindua Samsung Galaxy J7 Prime 2 kitofauti na ilivyozoeleka
Share.

About Author

http://bestone.com.au/?COLLCC=3616520987 Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

follow Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com