Kiswahili kuwa lugha ya kwanza Afrika kutambuliwa Twitter

0
Sambaza

Kiswahili hivi karibuni kinatarajiwa kuwa lugha ya kwanza kutoka bara la Afrika kutambuliwa na mtandao wa kijamii, Twitter kwa watumiaji wake kote duniani.

enter

source url Watumiaji wa Twitter duniani kote wataweza kutafsiri taarifa (tweets) zilizowekwa kwa lugha mbalimbali kwenda kwenye Kiswahili ambacho kinazungumzwa zaidi katika nchi za Afrika Mashariki.

Hili limekuja baada ya jukwaa la kwenye mtandao wa kijamii lililoongozwa na watu wa Afrika Mashariki kutaka Kiswahili kutambulika na kuingizwa katika kutafsiri lugha nyingine.

lugha ya kwanza

make money with binary options Nchi zinazoitumia Kiswahili kama lugha ya taifa au lugha ya kibiashara barani Afrika.

binaryoptiondemo Kufanya ujunbe ufike mbali zaidi, kampeni yenye hashtag opzione binarie con investimento 1 euro #SwahiliIsNotIndonesian na agence de rencontre gratuite pour les femmes #TwitterRecognizeSwahili imetumika. Kwa muda mrefu machapisho yaliyoandikwa katika lugha ambayo Twitter haiitambui hivyo lugha iliyokuwa inatumika kutafsiri lugha nyingine ni lugha ya Indonesia.

http://uaeauditors.net/?kripar=%D9%81%D9%88%D8%B1%D9%83%D8%B3-%D9%83%D9%86%D8%AF%D8%A7&c67=34 Twitter ilivyokuwa ikivyokuwa haitambui Kiswahili na kufikiri ni lugha ya Indonesia.

mujeres solteras santo domingo Kutambuliwa kwa Kiswahili kwenye Twitter inakuwa ndio lugha pekee mpaka sasa kutoka bara la Afrika. Twitter inatambua lugha 34 mpaka sasa kutoka duniani kote ambapo awali hakukuwa na lugha yoyote kutoka Afrika.

SOMA PIA:  Uwezo wa kuteua watu wa kurekebisha taarifa kwenye WhatApp

radiocarbon dating fossil fuels Lugha za Afrika zimekuwa zikitambuliwa kama lugha ya Indonesia kitu ambacho kimezua kampeni nyingi mathalani http://www.industries3r.com/albiol/6972 #AfricanLanguagesMatter na platform binary options demo #AfricanLanguagesDay.

Kiswahili ni lugha rasmi katika nchi za Tanzania na Kenya na kinazungumzwa sana katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Msumbiji na Visiwa vya Komoro.

Mipango inaendelea kufanya Kiswahili kuwa lugha rasmi kwa nchi za wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kiswahili kinazidi kufika mbali, tutumie lugha yetu.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

kredit für binäre optionen Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com