Kongamano Kubwa la Masuala ya Teknolojia Kufanyika Jijini

0

Sambaza

hdif-tanzaniaKwa kiswahili unaweza kuita ni wiki ya ubunifu/ugunduzi, kimombo inatambulika kama ‘Innovation Week’ na ni kongamano lililoanza leo na litakamilika tarehe 28 mwezi huu.

Kongamano hili linaandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la HDIF na litahusu mijadala kwenye maeneo ya teknolojia, maendeleo na ubunifu/ugunduzi wa kusaidia maeneo mbalimbali ya kijamii.

Kupata taarifa zaidi kuhusu kongamano hilo bofya hapa – [PDF]

Kufahamu zaidi kuhusu HDIF -TZ bofya kutembelea mtandao wao – http://hdif-tz.org/en/about-hdif/index 

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  IPP kuanzisha kiwanda cha simu za mkononi nchini
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply