Warning: Illegal string offset 'custom_css_post_id' in /home/content/n3pnexwpnas01_data01/25/3112425/html/wp-includes/theme.php on line 905
Sambaza upendo 🙂
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  

Mtandao Namba Moja Tanzania unaokuletea habari na mambo mengine yanayohusu teknolojia kwa ujumla kwa lugha ya Kiswahili!

Kiswahili ni Lugha Yetu!

Wasiliana nasi kwa maswali, nafasi ya kutangaza biashara yako au kufanya nasi kazi!

Barua pepe: mhariri (at) teknokona.com

 

[contact-form-7 id=”15824″ title=”New contact”]

Facebook Comments

Sambaza upendo 🙂
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  
 •  

Maoni (15)

 1. Mi ninatatizo natumia simu ya Huawei y530 ila kwasasa imeingia tatizo ukiwasha inajiandika ANDROID SYSTEM RECOVERY naombeni mnisaidie kama kuna app ya kurecover mnitumie

 2. Mi ninatatizo natumia simu ya Huawei y530-u00 ila kwa sasa imeingia tatizo ukiwasha inajiandika ANDROID SYSTEM RECOVERY kila nikijaribu kubust inagoma naombeni mnisaidie .

  1. Fika kwa fundi simu unayemuamini karibu yako tafadhali.

  2. Hapo cha kufanya ni kubonyeza cha kuongeza sauti na kitufe cha kuzima simu kwa pamoja kwa sekunde kadhaa, kisha menyu mpya itatokea halafu chagua ‘Reset phone (factory reset)’ kuweza kufuta kila kitu na kuanza upya.

 3. shabani alute,naomba kujua kama wakala wa LG SMART PHONE TZ,anaweza kumbadilishia mteja anaetumia simu ya LG iliyoharibika na kumpa nzima nae airudishe ktk kampuni (manufacture) ?LG3imehabika device yake haionekani ktk computer.

  1. Hilo linategemeana na makubaliano yaliyopo katika manunuzi husika, soma kuhusu ‘warranty’ na ‘guarantee’ uliyopewa kwenye manunuzi ya simu yako

   1. Nmenunua simu tigo shop inasapot kuanzia 3G mpk 4G Ila huduma hzo znapatkana ktk sehem ya chip namba 1 tu namba 2 ni 2G pekeake na tatizo ni hapo chip #1 inakaa tigo pekee na nkiweka line nyingne inataka pincode. Kwa mm cfagilii kutumia tgo kwenye internet nataka niweke line ya Voda Sema ndo haiaccess mpk niweke pincode je kuna mtu anajua jins ya kusolve ishu hyo ili niweze kuweka line ya Voda na ifanye kaz ktk shm ya chip #1 na isiombe tena pinlock?
    Anaejua pliz anisaidie

 4. Simu yangu nokia x 980 ina madude kama toxic mafuvu nme download clean master, speed boost, antivirus hayatoki yametoka wapi

 5. habar yako ndugu mharir.samahan mm ninatumia simu ya samsung galaxy s3 .Simu yangu ilikuwa slow sana.nikapewa wazo la kuifanyia backup .tatizo lililojitokeza nikufuta kila kitu.je ninaweza kurudisha vitu vyangu mfano ktk whatsup msg na picha zangu?

 6. Jinsi ya ku root tecno w3.

 7. naomba msada nimeibiwa simu y3+ nifanyeje ili niipate?

  1. tafadhali fika polisi.

 8. Hunger sana kwa kazi nzuri mnayofanya

Leave a Reply

Your email address will not be published.

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com