Namna ya kuzuia kurudishwa kwenye makundi ya WhatsApp #Maujanja - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Namna ya kuzuia kurudishwa kwenye makundi ya WhatsApp #Maujanja

0
Sambaza

Makundi kwenye mitandao ya kijamii, apps yamekuwa njia moja ya kuwakutanisha wengi na watu mbalimbali na kuweza kuongea, kushauriana, kutangaza biashara, n.k.

Tangu WhatsApp ilete kipengele cha groups (makundi) imekuwa ni moja ya njia inayoonekana kuwafikia wengi ndani ya muda mfupi iwapo kuiandika kitu na ukakituma kwenye kundi/makundi ambayo wewe ni mwanachama.

whatsapp

Hivi karibu WhatsApp pia wamewesha mtumiaji kuweza kutuma picha katika mfumo wa GIF au hata kuremba maneno.

http://suminvest.com/?p=35 Makundi kwenye WhatsApp yamekuwa kero kwa baadhi jambo kumfanya mtu kujitoa kwenye kundi fulani kutokana na kutopendezwa na kile ambacho kinasemwa kwenye group. Ni wakati wako sasa kujua na kujitoa kabisa na kutorudishwa tena kwenye kundi.

INAYOHUSIANA  Mkebe wa kuhifadhi AirPods kuwa na uwezo wa kuchaji iPhone

Jinsi ya kujitoa na mtu (admin) kutoweza kukurudisha tena kwenye group.

Wakati wa kujitoa katika kundi fulani ni muhimu kufahamu kuwa buy Methocarbamol no prescription WhatsApp haina kipengele cha kuzuia where to buy Topiramate (block) group lisiwepo ila unaweza ukafanya yafuatayo kuepuka kurudishwa tena kwenye kundi:-

  • Tunza (save) namba za simu za admin wote wa kundi/makundi unayotaka kutoka na kisha sitisha mawasiliano nao kwenye WhatsApp kwa lugha rahisi ni kwamba wablock.
  • Ingia kwenye group husika ambalo unataka kutoka kisha bonyeza sehemu ya juu kabisa kwenye jina la group ili kuweza kuona taarifa za kina kuhusu kundi hilo. Mwisho kabisa wa taarifa za kundi bonyeza “Exit this group“.

    Namna ya kujitoa kwenye kundi la WhatsApp.

Unaweza ukaonekana mbaya lakini ni wewe tu ndio unajua kwanini unajitoa kwenye kundi fulani baada ya kuangalia faida/hasara zitakazotakana na wewe kutokuwepo kwenye kundi/makundi hayo.

Chanzo: Mitandao mbalimbali

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.