Sasa unaweza Kutuma Mafaili ya Aina Yeyote kupitia WhatsApp

0
Sambaza

Unataka kutuma mafaili ya aina yeyote kupitia WhatsApp? Toleo jipya la WhatsApp linalosambaa kwa watumiaji wake linamuwezesha mtumiaji kutuma faili la aina yeyote kwenda kwa mtu mwingine.

demo account binary options Toleo hilo jipya limeanza kupatikana kwa watumiaji wa simu za Android na iOS kupitia masoko yake ya apps na tumefanikiwa kujaribu kutumia na ni kweli mabadiliko hayo yamekuja.

see Tokea mwaka jana waliwezesha utumaji wa mafaili ya mfumo wa PDF, .doc, .txt, .csv na .xls ila kuanzia sasa utaweza kutuma mafaili ya aina yeyote.

SOMA PIA:  Apps za wanyama zawekewa katazo kulinda usalama wa wnyama pori

Jinsi ya kutuma mafaili ya aina yeyote kupitia WhatsApp

binäre optionen kurse > Katika eneo la kuchati bofya alama ya kutuma faili, kisha bofya Document.

Kutuma Mafaili ya Aina Yeyote kupitia WhatsApp

http://milehiproperty.com/?ki0oss=Forex-trade-gold-rates&065=3a Kutuma Mafaili ya Aina Yeyote kupitia WhatsApp

here > Kuanzia sasa badala ya kuona mafaili yale ya txt, pdf na mangine kama hayo kama zamani kuanzia sasa kama unatumia toleo jipya basi utaweza kuona na mafaili ya mifumo mingine pia. Bofya na kutuma.

Dove mettere i soldi in opzioni binarie, http://www.prestatraining.com/anys/brokoli/1294. Luxury apartment with 4 rooms, located on the 10th floor in one of the most modern residential complexes on the market today, available now for rent. Kutuma Mafaili ya Aina Yeyote kupitia WhatsApp

go to site Ila bado kiwango cha ukubwa wa mafaili unayoweza kutuma kipo chini, kwa kutumia WhatsApp Web (kwenye kompyuta) utaweza kutuma hadi faili la ukubwa wa MB 64, kwa Android ukubwa wa MB 100 wakati kwa watumiaji wa iOS (iPhone) wao wataweza kutuma hadi faili la ukubwa wa MB 128.

SOMA PIA:  Namna ya kurudisha picha/video ulizovifuta kwenye simu za Android/iOS #Maujanja

binary search master theorem opzioni binarie affiliazione Ukilinganisha kwenye app zingine: Kwenye app ya kuchati ya Telegram mtumiaji anaweza kutuma hadi faili la ukubwa wa GB 1.5.

Vipi je umepokeaje habari hizi nzuri kwa watumiaji wa app ya WhatsApp? Kumbuka kusambaza habari hii nzuri kwenye makundi ya WhatsApp kwa wengine kwa kutumia huduma yetu ya kushare.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Risultati per opzioni binarie al raddoppio SRL a GORIZIA in impresaitalia.info, nella categoria ESPORTATORI ED IMPORTATORI Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

rencontre fergie black eyed peas Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com