Kuusoma ujumbe uliofutwa na aliyeutuma kwenye WhatsApp! #Maujanja

Kuusoma ujumbe uliofutwa na aliyeutuma kwenye WhatsApp inawezekana!

1
Sambaza

Ni wiki chache tu WhatsApp iliongeza moja ya maboreaho ambayo kwa maoni yangu naamini watu wengi walifurahia; kuweza kufuta ujumbe ambao uliutuma kwa bahati mbaya au hutaki tena yule uliyemtumia aweze kuuona/kuusoma. Kwa watafiti na wafuatiliaji kama Teknokona mapya yamebainika.

where can i purchase doxycycline hyclate

see url Watu wengi walifurahia sana kwa kile kilichoongezwa kwenye programu tumishi maarufu na pendwa kwa kile ambacho kinaweza kuleta mantiki ya kumuongezea nguvu yule aliyetuma ujumbe husika kwenda kwa mtu mmoja/watu wengi (makundi) na kuweza kuuondoa mara moja pale atakapoona kuwa ujumbe ule haukufaa kumfikia yule aliyemtumia. Swali linakuja hivi inakuaje kama yule uliyemtumia anakuwa na uwezo wa kuuosoma ujumbe ambao wewe ulishaufuta?

http://jeff-cannon.com/calendar-2/action~oneday/exact_date~27-12-2016/ Imebainika kuwa ujumbe ambao mtu aliyeutuma na kuuondoa kwenye kumbukumbu za WhatsApp ya kwenye simu janja yake ujumbe aliyeupokea anaweza akauona na kuusoma tena hata bila ya kutumia akili/nguvu nyingi.

Kuusoma ujumbe uliofutwa na aliyeutuma kwenye WhatsApp

Kuusoma ujumbe uliofutwa na aliyeutuma kwenye WhatsApp: Kipengele cha kufuta ujumbe kwa aliyetuma tu/kwa wote (kama ujumbe ulitumwa kwenda kwenye kundi).

Kwa kutumia programu tumishi ya kuonyesha taarifa fupi (Notification) kutoka kwenye Play Store, mtu anaweza akafungua ile taarifa fupi na kuweza kuuona ujumbe ambao aliyeutuma ameufuta na kuweza kufungua na kusoma tena bila ya hata yule aliyeutuma kuwa na taarifa.

Kama mtu akiwa amepakuwa app ya WhatsDelete Pro kwenye simu yake ataweza kupata taarifa fupi iwapo ujumbe fulani umefutwa au taarifa ya kitu chochote cha kwenye simu yake.

App ya Notification History inapatikana kupitia app ya Google PlayStore – WhatsDelete Pro.

Vipi unaichukuliaje habari hii?

Facebook Comments

Sambaza
INAYOHUSIANA  Fahamu Mambo Mapya Yanayokuja Kutoka WhatsApp
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|