Namna ya kuweka Play Store katika simu zenye mfumo wa kichina - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Namna ya kuweka Play Store katika simu zenye mfumo wa kichina

0
Sambaza

Unapozungumzia moja ya app yenye hifadhi ya Apps nyingi zaidi katika mfumo endeshi wa simu za Android basi uwezi kuweka soko la Google Play Store pembeni.

buy cheap uk Mysoline online doctors Watengenezaji wengi wa App wamekimbilia kuweka kazi zao huko Play Store ambako ndipo penye watumiaji wengi zaidi wa Simu Janja katika mfumo endeshi wa Android.

can i buy Depakote at walmart can i order antabuse online ‘Google PlayStore ni app rasmi ya soko la apps kwa ajili ya simu za Android, kama vile programu endeshaji ya Android, app hii pia ipo chini ya Google’

Ni vigumu kufikiria kutumia Android bila ya kuwa na Play Store. Sio kwamba hutaweza kutumia simu yako bila Play Store, bali simu itakuwa hujaitendea haki. Kupitia Play Store utakuwa umepata uwanja mpana wa kupakua App utakazo.

INAYOHUSIANA  Kodi kwenye mitandao ya kijamii yaanza rasmi Uganda

Simu nyingi za kichina huwa hazina Play Store. Hususani zile zenye Mfumo endeshi wa Kichina ambao huwa hauna Play Store, tofauti na mfumo Endeshi wa kimataifa ambao huwa na Play store moja kwa moja.

Xiaomi na OnePlus ni miongoni mwa wazalishaji ambao simu zao huwa na mfumo endeshi wa kichina usio na Play store. Mfumo huo hufahamika kama MIUI. Baadhi ya simu zenye kutumia MIUI huwa hazina Play Store.

Leo tutakuelekeza kwa njia iliyo rahisi sana namna ya kuweka Play Store kwa simu ambayo haina.

Namna ya kuwezesha Unknown sources

1. Hatua ya kwanza unatakiwa kupakua (Download) Google Installer ambayo link yake ipo hapo chini

INAYOHUSIANA  Fahamu Mambo Mapya Yanayokuja Kutoka WhatsApp

Bonyeza hapa kupakua

2. Baada ya kupakuwa unatakiwa kuinstall katika simu yako. Ambapo kwanza utakwenda Settings > Additional Settings/Security >na kisha utatia tiki Unknown sources.

3. Baada ya hatua hiyo fungua file la Google Installer na uanze kuinstall.

4. Hatua hiyo ikimaliza, zima simu yako na uiwashe tena na ufurahie kutumia Google Play Store

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.