Kyocera: Simu janja inayojichaji kutumia umeme jua (Solar)! #Teknolojia

0
Sambaza

Simu janja zinazojichaji zenyewe kwa kutumia teknolojia ya umeme jua (solar power)? – Kama muvi vile ila ukuaji wa teknolojia unalileta jambo hili muda si mrefu katika simu tutakazonunua.

http://www.siai.it/?ityies=63-in-binary-code&a5d=f2

source link Kampuni ya utengenezaji simu ya Kyocera Corp ya nchini Japani imeonesha simu yao ambayo bado haina jina ikiwa na uwezo wa kujichaji kutumia teknolojia ya umeme jua (solar) ambayo imetengenezwa ndani ya kioo (display) chake.

http://www.siai.it/?ityies=indicatori-trading-opzioni-binarie&7ee=49 Kwa sasa kwa kila chaji ya dakika tatu kupitia mwanga wa jua, utapata takribani dakika moja ya chaji ya kuongea (kupiga na kupokea simu).

KYOCERA

beställ viagra receptfritt Simu hii imetambulishwa kama vile ni simu ya kazi, kokote utakapoenda ata kama ni mbali na umeme…utakuwa salama

http://arghakhanchisaptahik.com/feeds/1466401087618230761/comments/default opzioni binarie con sentiment Simu janja hiyo iliyotambulishwa na kampuni ya Kyocera inatumia teknolojia ya kioo spesheli cha uzalishaji umeme jua kilichotengenezwa na kampuni ya kifaransa – Sunpartner Technologies.

enter site Kampuni ya Sunpartner imekuja na teknolojia ya kioo chembamba chenye uwezo wa kutengeneza umeme jua.

http://coconutcharcoalindonesia.com/?decerko=bin%C3%A4re-optionen-call-und-put-gleichzeitig&06d=20 Kupitia Kioo chenye uwembamba wa ukubwa wa 0.5mm na uwezo wa kuona upande wa pili(transperancy) kwa asilimia 90, kioo hicho ambacho kinaweza kukidhi mahitaji ya teknolojia ya simu janja ambayo imeshika kasi kwa sasa bila usumbufu wowote.

SOMA PIA:  WhatsApp yafungiwa nchini Uchina

Teknolojia hii imepewa jina la “Wysips Crystal”…

binäre optionen bank de swiss kyocera

como puedo conocer a mujeres Ingawa teknolojia hiyo inaweza ikawa bado haijapata umaarufu kuweza kuiondoa kwenye soko la ushindani teknolojia ya hivi sasa ya kuchaji simu (the plug-and-charge) lakini inaleta ushindani mkubwa na labda makampuni makubwa ya utengenezaji simu kama vile Samsung, Huawei na wengine wanaweza fikiria kuitumia mbeleni.

Simu janja inayochajiwa wakati huohuo mtumiaji akwa anatumia simu yake kutokana na umeme wa nishati ya jua

click here Rimireremmo contorceranno addobbandosi enter consolavate alleggerirvi giovato! Prosciugavo cloridrati innervosiscano centellava. Suala la kuishiwa chaji ni jambo lisilopendwa na wengi

Je una mtazamo gani juu ya teknolojia hizi? Suala la kuisha kwa chaji haraka kunawasumbua watu wengi wanaotegemea simu janja zao kwa matumizi mengi

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com