Maboresho kwenye Instagram: Machapisho mapya kuonyeshwa kwanza

Maboresho kwenye Instagram: Machapisho mapya kuonyeshwa kwanza

1
Sambaza

Uzuri na kinachovutia kwenye Instagram ni kuona machapisho ya picha/video kwenye Istagram ambapo itategemeana na watu uliowafuata.

why is prednisone on back order

cheap clomid for sale Ni muda sana Instagram walikuwa wagumu kuboresha ambacho wengi walikuwa wnakilalamikia lakini sasa wahusika wamesikia na kuboresha kile ambacho hakikuwapendeza wengi.

Hapo awali ukifungua Instagram ulikuwa unaona machapisho ya mtu ya siku yoyote ile; kulikuwa hakuna mpangilio maalum lakini hilo sasa litabadulika kwani utaweza kuona machapisho ya mtu ambayo ni mpya ingawa sio katika mtiririko maalum.

source Instagram yenye watumiaji zaidi ya milioni 800 kwa mwezi wamechukua takribani miaka miwili kuweza kuboresha yale ambayo yamelalamikiwa sana tena kwa muda mrefu. Kero nyingine ambayo imerekebishwa ni ule mtindo wa ‘Kuangalia kama kuna chochote kipya’ (refresh) bila ya wewe kutaka.

INAYOHUSIANA  Kifaa cha kupima malaria bila ya damu chaundwa nchini Uganda

Sasa mtumiaji mwenyewe atachagua ni wakati gani wa app hiyo kurefresh na kama hatokuwa amebonyeza kitufe cha nyumbani ukurasa hautarefresh.

Machapisho mapya

Machapisho mpya kuonekana kwanza: Wakati unaperuzi hutoweza kuona picha/video ya wiki iliyopita halafu itakayofuta iwe imewekwa dakika/saa chache zilzopita.

Instagram imesema itaendelea kuleta masasiho kwenye programu hiyo katika siku za usoni. Je, wewe una akaunti Instagram? Mambo haya mapya ni vitu ambavyo vilikuwa kero kwako kabla ya kuboreshwa?

Vyanzo: NYmag, Fortune

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|