Mambo Yanayoongoza Kutafutwa Katika Mtandao Wa Google 2016!

0
Sambaza

Ni wazi kuwa mtandao wa Google ndio unaongoza kutembelewa kwa siku ukilianganisha na mitandao mingine yote duniani.


Taarifa ni kwamba kwa siku huwa inafanya matafuto zaidi ya bilioni 3.5 ambayo watu huwa wanayatafuta. Pia kati ya hayo asilimia 16 mpaka 20 huwa ni mambo mapya kabisa ambayo hayajawahi kuulizwa hapo awali.

Google

Hebu fikiria hata wewe ni mara ngapi unaingia katika mtandao wa Google kwa wiki? Usinipe jibu!
Kwa mwaka 2016 haya ndio mambo yaliyoongoza kwa kutafutwa.


A: Matafuto Kwa Ujumla (Duniani) 2016
1. Pokémon Go
2. iPhone 7
3. Donald Trump
4. Prince
5. Powerball
6. David Bowie
7. Deadpool
8. Olympics
9. Slither.io
10. Suicide Squad


B: Matafuto Ya Watu (Duniani) 2016

1. Donald Trump
2. Hillary Clinton
3. Michael Phelps
4. Melania Trump
5. Simone Biles
6. Bernie Sanders
7. Steven Avery
8. Céline Dion
9. Ryan Lochte
10. Tom Hiddleston


C: Matafuto Ya Habari Za Kimataifa (Duniani) .2016

SOMA PIA:  Jacquard: Jaketi janja kutoka Google na Levi's

1. US Election
2. Olympics
3. Brexit
4. Orlando Shooting
5. Zika Virus
6. Panama Papers
7. Nice
8. Brussels
9. Dallas Shooting
10. 熊本 地震 ( Kumamoto Earthquake)


Google

Je umeshawahi kutafuta lolote hapo juu kwa mwaka huu? Kama umeshawahi jua wewe ni mmoja kati ya wale wengi ambao wamewezesha mpaka hayo kuongoza.

Je lile unalopenda kulitafuta halipo hapo? Ningependa kusikia kutoka kwako, hebu nitonye hapo chini sehemu ya comment. Kumbuka TeknoKona daima tupo nawe katika teknolojia!

Kumbuka kusambaza makala na pia kuungana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram, YouTubeTelegram na Google Plus

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com