Mark Zuckerberg akataa kuwa Facebook 'ilihusika' katika uchaguzi mkuu Marekani - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Mark Zuckerberg akataa kuwa Facebook ‘ilihusika’ katika uchaguzi mkuu Marekani

1
Sambaza

Katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni na hatimaye rais mpya kuchaguliwa; Facebook imekataa uvumi ya kwamba Facebook iliruhusu watu kueneneza jumbe za uongo kuhusu uchaguzi huo kitendo ambacho matokeo yake si kama ilivyokuwa ikitegemewa.

source

see url Uvumi huo umekuja baada ya Rais mteule wa Marekani kuchaguliwa na si yule ambaye aliyekuwa akitegemewa kushinda katika uchaguzi huo kutokana na raia wengi kuonyesha kumkubali kuliko yule aliyeshinda katika uchaguzi huo.

can you buy prednisone over the counter in greece Mmiliki wa Facebook amesema kuwa habari ya kusema kwamba Facebook iliruhusu jumbe na stori mbalimbali za uongo kuhusiana na uchaguzi huo si za kweli na zinatokana na hasira na kutafuta nani wa kumlaumu.

Mark Zuckerberg akizungumza katika mkutano wa Techonomy-California.

Mark Zuckerberg akizungumza katika mkutano wa Techonomy-California.

Tetesi zinasema kuwa jumbe hizo ziliweza kuchagiza matokeo hayo ya uchaguzi uliofanyika nchini Marekani hivi karibu lakini kila mtu anamchagua yule anayemuona kuwa atafaa kuongoza kutokana na jinsi na yeye upeo wake unavyoona.

Ni kweli inashangaza kuona yule aliyekuwa anaonekana kukubalika na wengi kushindwa na mpinzani wake kushinda ila cha kuzingatia ni kutoamini kinachoandikwa/kusemwa katika vyombo vya habri bali matokeo rasmi ya jambo fulani.

INAYOHUSIANA  Instagram Lite Sasa Yaanza Kupatikana.

Je, una lolote la kutuambia kuhusiana na hili. Kuwa huru kutuandikia maoni yako.

Chanzo: Telegraph, mitandao mbalimbali.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|