Programu wezeshaji inayoweza kujua unachofikiria

0
Sambaza

Wanasayansi wamekuwa wakivumbua vitu kila leo. Tukianzia kwenye roboti, drones, gari zinazojiendesha zenyewe, n.k. Wanasayansi wameweza kutengeneza programu wezeshaji unayoweza kujua unafikiria nini.

Timu ya watafiti imeweza kutengeneza programu wezeshaji (software) yenye uwezo wa kutafasiri data kutoka kwenye MRI na kutengeneza picha halisi ya mtu aliyekuwa mgonjwa alipokwa kwenye mashine hiyo.

BrainHuko nyuma programu wezeshi (software) iliweza kutoa majibu ingawa picha zilizokuwa hazionekani vizuri (zilionekana kwa rangi nyeupe na nyeusi) yaani kama picha zilizokuwa zikipigwa miaka ya 70 kurudi nyuma.

Moja ya picha za awali zilizotolewa kwenye computer kwa kutumia hiyo program endeshaji

Moja ya picha za awali zilizotolewa kwenye kompyuta kwa kutumia hiyo program weezeshaji.

Programu hiyo endeshaji itasaidia sana kuweza kujua ni jinsi gani ubongo unavyofanya kazi kwani mashine hii inaweza kujua unachokifikiria na sio kwa kubahatisha bali kwa uhakika na kutoa majibu yaliyosahihi.

SOMA PIA:  Tesla Mbioni Kuja Na Huduma Ya Ku'Stream Miziki!

Je, unadhani teknolojia hii ikifika kwetu Afrika itakuwa na faida/madhara gani kwetu? Toa maoni yako hapo chini nipate kusikia kutoka kwako msomaji wetu. TeknoKona tunakuhabarisha.

Vyanzo: Extreme tech, live science

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com