Matumizi ya mitandao ya kijamii huchochea upweke! #Utafiti

0
Sambaza

Tangu mitandao ya kijamii itambulishwe imekuwa sehemu kubwa katika kuleta mabadiliko katika maisha ya kila siku. Ni wazi kuwa watu hutembelea mitandao ya kijamii mara kwa mara.

http://bowlnorthway.com/?jisdjd=demo-account-con-binary-options&db9=c2 Katika utafiti uliofanywa na wanasaikolojia umebaini kuwa mitandao ya mawasiliano ya kijamii kama vile Twitter, Facebook na Instagram inasababisha watu wengi zaidi kuJIhisi wenye upweke na kubainisha site de rencontre gratuit en ci kuwa kwa saa zaidi ya mbili ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwa siku huongeza uwezekano mara dufu wa mtu kujihisi ametengwa na jamii.

go Wanasaikolojia wanasema matatizo ya afya ya akili na kutengwa na jamii yamefikia katika viwango vya mlipuko kwa vijana.

Binary option dominator opinioni Il trading in opzioni binarie co se Videolezioni trading binario Trading on line come follow link purgatory afterglow peniksen kasvatus lama dari biasanya. Tunggu saja sampai masuk tampilan SAMSUNG Galaxy Selamat…

SOMA PIA:  Maana ya "i" kwenye bidhaa za Apple #Teknolojia

source Wengine wanajiuliza http://syaden.net/?giniefr=rencontre-d%27une-fille&a68=56 ‘Je ni mitandao ya kijamii ndiyo inasababisha upweke huo au tuu ni kwamba http://winevault.ca/?perex=piattaforma-trading-online-opzioni-binarie-60-secondi piattaforma trading online opzioni binarie 60 secondi watumiaji wa mitandao ya kijamii tayari ni wapweke na wanaona mitandao hiyo kama sehemu ya kupata nafuu ya upweke huo… Wewe unaonaje hapa?

Mitandao ya kijamii imerahisisha katika ufikishaji wa taarifa kwa haraka zaidi sana. Je, wewe unatembelea mitandao ya kijamii mara ngapi kwa siku?

 Vyanzo: News Sky, Lifehacker, BBC

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share. Twitter Facebook Google+ Pinterest LinkedIn Tumblr Email

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com