Mauzo ya iPhone 8 na iPhone 8 Plus yadorora

0

Ripoti iliyotolewa na KeyBanc Capital Markets inasema kuwa mauzo ya simu za iPhone 8 na iPhone 8 Plus yamedorora kinyume na matoleo mengine ya simu za kampuni ya Apple.

here Katika kipindi hiki cha majira ya joto iPhone 8 na iPhone 8 Plus imeonekana kutowapa watu msisimko kama ilivyo kwa simu za matoleo yaliyopita hususani iPhone 7. KeyBanc Capital Markets walikusanya data za utafiti katika maduka ya wauzaji wa simu hizo na ikagundulika kuwa simu za What do i need to know to start a business from home iPhone 7 na iPhone 7 Plus ziliuza haraka kuliko ilivyo sasa kwa iPhone 8 na iPhone 8 Plus.

simu ya iPhone X iPhone 8 na 8 Plus

como conocer a la mujer ideal Muonekano wa iPhone X iPhone 8 na 8 Plus

Mpaka sasa jumla ya simu za iPhone 8 na iPhone 8 Plus zimeuzwa 900,000 katika maduka yaliyofanyiwa utafiti. Mchambuzi John Vinh amegundua kuwa watumiaji wengine wameonyesha nia ya kununua iPhone X ambayo inatarajiwa kuanza kuuzwa Novemba 3 mwaka huu.

auto opzioni digitali funziona davvero Wengi waliohojiwa na shirika la habari la Reuters walisema kwamba iPhone 8 na iPhone 8 Plus hazina jipya kutofautisha sana na iPhone 7 na iPhone 7 Plus hivyo kuwafanya wasubiri toleo la iPhone X.

Kwa hali hiyo inaonesha mauzo ya iPhone 8 na iPhone 8 Plus yanaweza kuporomoka zaidi pindi iPhone X itakapoingia rasmi sokoni. Lakini hata hivyo hatuwezi kusema ni dalili mbaya kwa simu za Apple.

Wewe kama mmoja wa watumiaji wa simu janja una maoni kuhusu taarifa hii? Tupe maoni yako na usisahau kutufuatilia kila siku.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

see url Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

beleggen met binaire opties Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com