Facebook Messenger: Yaleta emoji mpya mbalimbali.

0

Facebook Messenger leo imefanya mabadiliko makubwa katika app zake katika upande wa emoji kwa kuzifanyia mabadiliko makubwa emoji hizi pamoja na kuongeza emoji nyingine mpya.

go to site

Mabadiliko haya yatawafanya watumiaji wa app hii katika Android na wale wa iOS kutumia emoji za aina moja hivyo kuwaleta karibu zaidi.

Facebook Messenger

free binary option no deposit Emoji mpya zitawapa uwezo watumiaji kuchagua rangi ya ngozi za emoji

http://ilvinopertutti.it/?tykios=quotazioni-valute-online&bd1=c3

follow url Facebook Messenger wanasema kwamba pamoja na mabadiliko haya kuondoa mkanganyiko uliokuwa unatokea watu wa kutoka OS tofauti wanapotumiana emoji pia yanawapa shavu zaidi wanawake baada ya kuhakikisha kwamba wanapata uwakilishi mkubwa katika emoji.

Facebook Messenger

recherche d'une fille congolaise Picha ikionesha ulinganishi wa muonekano wa emoji katika iOS na Android mwanzo zidi ya muonekano huo sasa.

Binary option dominator opinioni Il trading in opzioni binarie co se Videolezioni trading binario Trading on line come http://modernhomesleamington.co.uk/?id=20708 see url Nini Kipya!?

binary option europe with fake credit Facebook Messenger imeleta kwanza uwezo wa kubadili rangi ya ngozi ya emoji unayotumia, pia imeleta emoji nyingi ambazo zinawakilisha wanawake katika kazi mbalimbali za kitaaluma kama vile askari wa kike zaidi wanawake wamewakilishwa katika emoji ambazo walikuwa hawawakilishwi kama vile mtu anayekimbia na kutembea.

Facebook messenger

mujer busca hombre maldonado Emoji mpya zimelenga kuleta uwakilishi mpana zaidi kama zinavyoonekana

http://www.techhelpnumbers.com/font/2294 source url Mabadiliko haya yataanza kupatikana lini kwa watumiaji?

follow link Facebook Messenger inaanza kuyatoa mabadiliko haya leo siku ya alhamisi lakini sio kwa wateja wote kwa pamoja, wapo ambao wataipata mapema zaidi ila wengine watasubiri zaidi. Ili kupata mabadiliko haya basi itakubidi kuupdate app yako pindi mabadiliko haya yatakapokufikia.

Je umekwisha pata emoji hizi mpya? kama tayari tuambie katika maoni umezionaje na unamaoni gani? kama unaswali lolote usisite kutuuliza katika koment na sisi tutakujibu.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com