´╗┐ Miaka 10 ya iPhone: Simu bilioni 1.2 zimeshauzwa - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Miaka 10 ya iPhone: Simu bilioni 1.2 zimeshauzwa

0
Sambaza

Miaka 10 ya iPhone. Kampuni ya Apple imetangaza kwamba imeuza simu zake za mkononi za iPhone bilioni 1.2 tangu kuanza kwa uzalishaji wa simu hizo mwaka 2007.

go here Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtandaji bwana Tim Cook jumatano wiki katika mkutano wa kutangaza mapato ya robo ya tatu ya mauzo yake kwa miaka 10.

Miaka 10 ya iPhone

http://alternativespacetime.com/?attachment_id=1244 Miaka 10 ya iPhone: Mkurugenzi Mtendaji wa Apple, Tim Cook akionesha Iphone 6 na Smartwatch

where can i buy celebrex Mwaka jana Apple walitangaza kuuza simu zao zipatazo bilioni 1 hivyo inamaana kwa mwaka mmoja wameuza simu zipatazo milioni 200. Simu janja ya Iphone (1st generation) zilizinduliwa kwa mara ya kwanza Juni 2007 na Steve Jobs.

INAYOHUSIANA  Utoaji wa talaka kwa njia ya simu wakemewa

Cook amesema mauzo ya Iphone yamepanda hasa kwa simu ya Iphone 7 Plus baada ya kuzidi mauzo ya Iphone 6s kulinganisha na robo ya juni mwaka jana. Iphone 7 iliuzwa mara mbili yake.

Simu ya kwanza ya Iphone iliyotoka 2007

Mbali na maadhimisho hayo ya miaka 10 ya Iphone, mashabiki wa simu janja wanasubiri kwa hamu kuzinduliwa rasmi kwa simu ya Iphone 8.

Iphone 8 itakuwa ni simu ya kwanza ya Apple kuwa na Teknolojia ya OLED kwenye kioo chake na pamoja loki ya utambuzi wa sura badala ile ya kugusa kwa kidole.

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Ni mpenzi na mfuatiliaji wa mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Comments are closed.