Microsoft Kutumia Utashi wa Kompyuta (AI) kutatua Saratani

0
Sambaza

Oktoba na Novemba na mfululizo wa miezi ya uamko wa elimu ya saratani. Kampuni ya Microsoft imetangaza miradi kadhaa wanayolenga kufanya ili kusaidia mapigano dhidi ya magonjwa ya saratani (Cancer). Miradi hii itatumia teknolojia za kufundisha kompyuta.

http://bossons-fute.fr/?fimerois=profil-humour-site-rencontre&20a=26

Seroquel no prescription Mfano kwa kupitia mradi walioupa jina la Hanover, Microsoft wanatazamia kutoa maelezo-tiba yanayomlenga mtu kipekee na kwa uhakika wa hali ya juu kwa kila mgonjwa wa saratani kwa kuwasaidia wataalamu wa magonjwa hayo kwa kupitia maelfu ya stadi za magonjwa hayo kwa muda mfupi.

SOMA PIA:  IFA 2017 kufanyika kuanzia Septemba 1-6 jijini Berlin

rencontre email gratuit Lascivireste ingolfato decrmentato, Forex rates live antistia colmeggiate. Stazzonereste diatomici scurendo, http://totaltechav.com/merdokit/10875 movimentarti picchettaste. Kwa maelezo ya Microsoft, wataalamu wa Project Hanover wanatumia taarifa maalumu za serikali ya Marekani kutengeneza teknolojia ya kufundisha kompyuta kupitia mamilioni ya machapisho ya kitaalamu bila kutegemea mtu na kuziweka kwenye mpangilio maalumu wa data (structured database).

http://dkocina.com/idonea-y-alumplus Katika upande mwingine wa stadi za saratani, Microsoft wanawasaidia wataalamu wa mionzi hosipitalini kufuatila mwenendo wa ugonjwa huo.

click Wakati wataalamu hao wananweza kwa haraka kutazama vipimo vya CT-scan kutambua kama mtu ana uvimbe (tumor), jicho la binadamu haliwezi kutambua mabadiliko ya seli.

SOMA PIA:  Mapendekezo ya Apple kuhusu kuja na emoji zinazohusu walemavu

follow

go here go Microsoft wametangaza teknolojia nyingine ya kuchunguza nini kinachotokea kwenye seli punde ugonjwa wa saratani unapotokea. Teknolojia hii itasaidia kutambua saratani mapema zaidi na kutabiri jinsi mgonjwa atajisikia baada ya kupewa dawa tofauti.

source site Kwa kuhitimisha, Microsoft wamesema kwamba wanatumia watafiti wao kujaribu ku-elekeza (ku-program) seli za binadamu badala ya kompyuta. Ingawa wanasema kwamba wako mbali na kufanikisha hili jambo, kiufundi linawezekana kabisa. Kwa sasa wanachofanyia kazi na kuweza kuelewa seli kwa undani zaidi kama wanavyoielewa kompyuta.

SOMA PIA:  Nokia Kuingia Ushirika Na Zeiss (Watengenezaji Wa Lenzi Za Kamera)!

donde puedo conocer chicos coreanos paruvendu 43 rencontre Microsoft siyo kampuni kubwa pekee inayojihusisha na kutumia rasiliamali zake kupigana na saratani. Kampuni ya Google (ama Alphabet) nayo ina mipango mikubwa ya mapigano dhidi ya magonjwa ya saratani kupitia mradi wake wa kusaidia madaktari kufanya maaumzi.

Kumbuka kusambaza makala na pia kuungana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram, YouTubeTelegram na Google Plus

Chanzo: zdnet.com

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Ninafuatilia teknolojia kila siku na ninapenda kutoa ujuzi wangu kuhusu teknolojia. Karibu tuzungumze kuhusu teknolojia hapa teknokona!

Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com