Microsoft Translator app yaongezwa lugha nyingine ya kutafsiri

0
Sambaza

Kwa watumiaji wa Microsoft translator au programu nyingine ya kutafsiri kutoka lugha moja hadi nyingine kwa hakika programu hizo zimekuwa msaada mkubwa kuweza kuelewa neno/sentensi kutoka lugha moja hadi nyingine.

forex rate

here Mtu yeyote anayependa kujifunza lugha mbalimbali ninaamini atakuwa anafahamu programu tumishi iitwayo Microsoft Translator na kama jina lenyewe linavyosomeka maana yake ni kwamba ipo chini ya Microsoft. Katika lugha iliyoongezwa hivi karibuni kwenye app hiyo inaitwa Tamil ambayo ni moja kati ya lugha za zamani na inayozungumzwa na watu wengi duniani.

SOMA PIA:  Kivinjari cha UC Browser chaondolewa katika soko la Apps la Google PlayStore

Kwanini Microsoft imeamua kuongeza lugha mpya kwenye Microsoft app?

follow Tamil ni lugha ambayo inazungumzwa na watu zaidi ya milioni 70 duniani nchini India na ni lugha rasmi kwa Tamil Nadu, Puducherry, Sri Lanka, Singapore na kwa kiasi chake nchini Malaysia. Kwenye Microsoft translator mtu ataweza kupata tafsiri ya namna ambali aidha kama:-

follow site i) kuweza kusikiliza mazungumzo ya watu kutoka lugha moja na kisha kutafsiri kwa maandishi kwenda lugha ya Tamil,

brinäre optionen handeln ii) kutokana na kipengele cha Phrasebook kilichomo ndani ya Microsoft translator mtu anayezumza lugha ya Tamil anaweza kupata maelekezo ya sehemu anayokwenda, kuagiza chakula kwenye mgahawa na kuweza kupata tafsiri yake katika lugha ya Tamil hata kama kitu chenyewe kipo katika mfumo wa alama,

agencias matrimoniales en madrid Microsoft translator inaweza kutafsiri lugha zaidi ya 60 na Kiswahili ikiwa moja ya lugha hizo.

il sito piu affidabile per fare azioni binarie iii) Lugha ya Tamil inaweza kutafsiriwa kwenye tovuti ya Bing au hata kwenye Office 365 inayojumuisha programu tumishi kama Microsoft Word, Microsoft Power Point, Microsoft Excel pamoja na kwenye Azure.

Lugha ya Tamil inaweza kutafsiri lugha 10 zilizo katika mfumo wa hotuba. Kwenye Microsoft translator mtu anaweza akanakili neno kutoka kwenye app nyingine na kuweza kupata tafsiri ya neno husika.

http://backyardgardensjoseph.com/?bioener=dating-for-boaters&6b9=2b Vyanzo: Gadgets 360, ET Tech, News 18

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

binary options sec Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com