Microsoft Watambulisha Simu ya Lumia 650 – Inatumia Windows 10 na ni ya bei nafuu!

0
Sambaza

Simu ya Lumia 650 inakuwa simu ya kwanza inayotumia toleo la Windows 10 na itakayouzika kwa bei nafuu ukilinganisha na matoleo mengine ya simu za Windows 10 kwa sasa.

Ingawa biashara ya simu haijaweza bado kuwa na mafanikio sana kimauzo na kimapato kwa Microsoft bado wanaonesha kuwa na nia ya kuendelea kuwa katika biashara hii.

Na sasa wamegundua njia ya kufanya hivyo ni pamoja na kupunguza idadi ya matoleo ya simu huku wakihakikisha matoleo machache wanayotoa yanagusa watumiaji wa aina mbalimbali na kwa uchaguzi wa bei za chini, kati na za juu. Simu ya Lumia 650 ni simu itakayoweza kutumia kwa matumizi ya kawaida na ata yale ya kikazi zaidi, na sifa kubwa ni kuwa itapatikana kwa bei nafuu zaidi ukilinganisha na zingine zinazotumia Windows 10.

Simu zingine za Windows 10 zilizokwisha tambulishwa na kuingia sokoni ni pamoja Lumia 950, Lumia 950 XL pamoja na Lumia 550.

Sifa za Simu ya Lumia 650

Simu ya Lumia 650

Muonekano

Inakuja na kioo (display) cha inchi 5 kikitumia teknolojia ya aldara köpa AMOLED – HD (720×1280). Imezungukwa na kijumba (body) cha alumini (alluminum).

SOMA PIA:  Je simu za mkononi zinasababisha kansa ya ubongo? Utafiti mpya waja na majibu

Diski uhifadhi

Inakuja na kiasi cha see url diski uhifadhi (storage) cha GB 16 na uwezo wa kutumia http://specialolympics.es/?erimeri=se%C3%B1ales-para-opciones-binarias-gratis&650=49 memori kadi ya ukubwa wa hadi GB 200.

Prosesa na RAM

Inatumia prosesa ya http://www.fordbaris.com/?jiiias=demo-forex-hesab%C4%B1-nedir&8e3=4c ‘quad-core Qualcomm Snapdragon 212’ – 1.3GHz pamoja na RAM ya GB 1.

Kamera

Inatumia kamera yenye http://coconutcharcoalindonesia.com/?decerko=binary-optionen&3bb=10 megapixel 8, ikiwa na uwezo wa ‘ http://beerbourbonbacon.com/?niokis=dating-husband-after-divorce&858=d1 autofocus’ na flash ya LED.

Mengineyo

SOMA PIA:  Simu ya Rais Donald Trump ina App moja tu!

Bei?

Simu hii itauzika kwa opzioni binarie momentum dola 199 za kimarekani kabla ya kodi n.k. Hii ni takribani cos e demo di 24 option Tsh 437,000/= | here Ksh 20,270/=. Inategemewa kuongezeka kidogo ikianza kupatikana madukani hii ikiwa ni ongezeko la kodi na la faida ya wafanyabiashara.

Itaanza kupatikana kuanzia tarehe 18 mwezi wa pili kwa masoko ya Ulaya na kisha kusambazwa pia katika nchi zingine baada ya hapo.

Soma pia – Uchambuzi wa Microsoft Lumia 950 na Lumia 950 XL

SOMA PIA:  Kipengele cha 'Smart Battery' kwenye simu za Google Pixels

Je unamaoni gani juu ya simu ya Lumia 650 na simu za Lumia kwa ujumla wake? Tuambie kupitia eneo la comment. Usisahau kusambaza makala kwa marafiki. Endelea kutembelea TeknoKona

Vyanzo: TheVerge na mitandao mbalimbali

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

Leave A Reply

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com