Mkasi uliosahaulika tumboni miaka 18 iliyopita watolewa.

0
Sambaza

Timu ya madaktari wamefanikiwa kufanya upasuaji na kuutoa mkasi ndani ya tumbo la mwanaume mmoja huko Vietinamu, mkasi huo ambao ulisahauliwa katika upasuaji mwingine aliofanyiwa mgonjwa huyo miaka 18 iliyopita.

follow site

47a27a90c1fcce89f7788b02d78ad3a8 18

online matchmaking sri lanka Ma Van Nhat mwanaume wa miaka 54 alikuwa amekwenda hospitali kwaajiri ya matibabu baada ya kupata ajali ya barabarani, katika matibabu hayo ndipo mkasi huo ulipogundulika ndani yake.

enter mkasi huo ambao unatumiwa na madaktari nyakati za upasuaji ulikuwa na urefu wa sentimita kumi na tano, ulikutwa ukiwa na kutu na tayari umekwisha katika katika vipande viwili.

18

follow url Mkasi huo uliokaa miaka 18 baada ya kutolewa tumboni

http://madanha.ir/aribos/arini/1018 Jamaa huyo alipohojiwa anasema baada ya upasuaji wa mwaka 1998 alirudi nyumbani lakini aliendelea kusikia maumivu  hali iliyopelekea kwenda tena hospitali hata hivyo huko aliambiwa kwamba anavidonda vya tumbo jambo ambalo lilipelekea kuendelea kutumia dawa za kutuliza maumivu.

18

strategie opzioni binarie touch Picha ya kipimo kilichoonesha kuwepo kwa mkasi huo

anyoption bewertung Mgonjwa huyo alifanikiwa kufanyiwa upasuaji salama siku ya tarehe 31 mwezi wa kumi na mbili mwaka jana na mkasi huo kuondolewa, hospitali alipofanyiwa upasuaji huu kuondoa mkasi huu ndiyo hospitali ulipofanyika upasuaji uliosahau mkasi ndani yake miaka 18 iliyopita.

SOMA PIA:  Volvo Kuhamia Katika Kutengeneza Magari Ya Umeme!

go here Hospitalli hiyo imekili kosa hilo lakini ikasema ni ngumu kujua ni nani hasa walihusika katika upasuaji huo wa kwanza kwa kuwa hawatunzi rekodi zaidi ya miaka 15 na kuongeza kwamba watajitahidi kutafuta ni nani walifanya kosa hilo na kisha kuwajulisha.

Ciò è particolarmente vero nel caso in cui lo stoppino sostituisce la lunghezza del corpo della candela stesso login big optine binry o se lo

Kumbuka kusambaza makala na pia kuungana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram, YouTubeTelegram na Google Plus

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

binУЄre optionen 0-100 Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com