Mswaki wenye uwezo wa kuchukua video za mdomoni mwako!

Mswaki wa Tsh Milioni 1, wenye uwezo wa kuchukua video za mdomoni mwako!

2
Sambaza

Upo hapo? Mswaki wa dola 400 za kimarekani utakaokusafisha wakati huo huo ukiwa unakupa video za moja kwa moja (LIVE) za kinywani mwako kupitia simu yako.

mswaki wenye uwezo wa kurekodi video

http://moorephilanthropy.com/wp-json/oembed/1.0/embed?url=http://moorephilanthropy.com/about-2/ Prophix Smart Video Toothbrush: Mswaki wenye uwezo wa kurekodi picha na video za kiwango kikubwa kinywani mwako

Kampuni ya Onvi inayotengeneza miswaki ya umeme imeona labda kuna umuhimu wa wewe kupata kuona ni eneo gani hasa la meno unalisafisha katika mdomo wako na ndiyo maana wakaja na mswaki janja uliopewa jina la ‘Prophix Smart Video Toothbrush’.

Utumiaji wa miswaki ya umeme unakua taratibu na ata umoja wa afya za meno nchini Marekani (The American Dental Association) unashauri http://maschine.com.au/category/uncategorized/ utumiaji wa miswaki ya umeme, wakisema ni bora zaidi kuliko miswaki ya kawaida tuliyoizoea.

Muonekano wa karibu

buy cheap uk Keppra online doctors Mswaki huo unakuja na kamera ya megapixel 10 yenye uwezo wa kuchukua video za kiwango cha HD (1080p).

Wanaamini kwa teknolojia hii basi utaweza safisha meno na maeneo mengine ya mdogo wako kwa ufanisi zaidi…umeona sehemu ina tatizo? Ipige picha na ukamuonesha daktari baadae! 🙂

Je una mtazamo gani juu ya mswaki huu? Bei je? Wazee wa selfi wasije wakatuwekea selfi za meno tuu kwenye mitandao ya kijamii 🙂

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |