Sambaza
Kampuni ya kutoa huduma za usafiri wa kukodi nchini Kenya, Uber imeanzisha programu ya kuweka siri namba za simu za madereva wake ikiwa ni mojawapo ya njia za kuwafanya wawe salama.
Uber imeweka programu hiyokutokana kwa muda mrefu madereva wake wamekuwa wakitatizwa na suala la usalama. Madereva watakuwa wakimpigia mteja simu bila namba zao kuonekana. Aidha, maelezo zaidi kuhusu mteja yatakuwa yanajitokeza kwenye programu hiyo.
Tangu mwaka wa 2016 Uber imekuwa ikibuni programu mbalimbali zinazolenga kumfanya mteja na dereva cheap Lamictal no prescription kuwa salama kufuatia matukio mengi ya kiusalama kushuhudiwa kwa madereva wake.
Kwa upande wa Tanzania, Uber bado haijafikiria kitu kama hicho ambapo namba za madereva unaweza kuziona pamoja na majina yao kamili na kumrahisishia mteja kuweza kumpata dereva kwa urahisi zaidi.
Facebook Comments
Sambaza