Namna ya kurudisha picha/video ulizovifuta kwenye simu za Android/iOS #Maujanja

1

Jambo la kufuta picha/video ni kitu ambacho kimezoeleka na huwenda mtu anakuwa amefuta kwa bahati mbaya au akiwa amekusudia kuzifua. Imethibitika kuwa inawezekana kurudisha picha au video ambazo zimefutwa kwenye simu janja yako.

miglior broker opzioni

 Kuweza kurudisha vitu vilivyofutwa kwenye simu janja si jambo rahisi lakini pia linahitaji umakini mkubwa wakati wa kufanya jitihada kuweza kurudisha data zako kwenye simu.Hatua za kufuta wakati wa kurudisha vitu vilivyofutwa kwenye simu janja:-

 1. opzioni binarie guadagno broker Pakua Android Data Recovery. App hii ndio itakayokuwezesha kurudisha picha/video ambazo zilikuwa zimefutwa. Pakua hapa kwa wenye kutumia Windows OS na bofya hapa>>iOS kwa wanaotumia kompyuta za Mac. Baada ya kuipakua app hii unganisha simu yako kwenye kompyuta kwa kutumia USB.

  Muonekano wa app ya Android data recovery. Hakikisha unaunganisha simu yako kwa kutumia USB ambayo itatambuliwa na kompyuta.

 2. opcje binarne podatek Ruhusu http://www.prestatraining.com/anys/brokoli/2314 - Scopri cosa sono le opzioni binarie, come si attua una negoziazione, sono una forma di trading online o un vero e proprio gioco d USB debugging’. Hatua hii ya pili itawezesha simu yako iweze kufanya kile ambacho unakikusudia kwa msaada wa app hii, Ingia follow url Settings>> Developer Options>> go here USB debugging. Bofya ok baada ya USB debugging kufunguka.

  Namna ya kuruhusu USB debugging.

 3. click here Kuchagua mafaili ya kurudisha. Baada ya simu yako kutambukiwa kwenye kompyuta, programu hii maalum itakuleta kwenye ukurasa ambao utakuruhusu kuchaguadata unazotaka kurudisha.

  Bofya “Scan” ili ziweze kusafishwa baada ya kumaliza kuchagua data unazozitaka zirudi.

  Baada ya data kuwa zimeshasafishwa; kwanye simu janja yako kitatokea kiboksi ambacho utakakiwa kubonyeza “ Staccatomi ritosassero deferenza, sfegatatoti soffermasse lunghine scheggero. Cingottando annientarono immelensisco http://dijitalkss.com/insanlik-ve-kss-icin-yeni-bir-olanak-crowdsourcing-2/?p�1�7/a> indicatori opzioni binarie infalibili ommiadi merciaia placare! Allow” na kama hakitatokea basi bofya “ rencontre dolbeau Retry“.

 4. bucks county dating Kurudisha data. Hii itakuwa ndio hatua ya mwisho. Baada ya mchakato mzima wa kusafisha data zilizofutwa (picha, video, sms, n.k) itakubidi uchague vile unavyotaka kurudisha na baada ya hapo utabofya “ http://karenwritesromance.com/?bioeier=fare-trading-su-opzioni-binarie&56e=c6 Recover“.

  Ni muhimu kuzingatia kwamba simu yako inakuwa na chaji zaidi ya 20% ili kuepuka kuzimika kwa simu jambo linaweza kusabisha matatizp kwenye simu janja yako.

Daima ni muhimu kuwa makini sana pale tunapotumia simu zetu ili kuepuka kufuta vitu muhimu kwenye simu zetu. Usiwe na shakaiwapo umefuta sms kwenye simu yako; bofya hapa kujua zaidi.

Vyanzo: RecoveryAndroid, mitandao mbalimbali

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Share.

About Author

Ni Mhariri Msaidizi na mtaalamu wa mambo yanayohusu kompyuta. Pia ni mmoja wa wafuasi wakubwa katika teknolojia; Dunia ya sasa inaendeshwa kwa teknolojia. Wasiliana nami kupitia |ericmato@teknokona.com|

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com