Teknolojia Mpya ya Kuzuia Kuvuja Damu katika Majeraha ya Risasi Yapitishwa

0
Sambaza

Bodi ya kuratibu vyakula na madawa (Food and Drugs Administration) ya nchini Marekani imepitisha matumizi(ya kiraia) ya bomba sindano (lenye vi-sponge) kwaajiri kuzuia kuvuja damu katika majeraha ya risasi , njia hii ambayo ni teknolojia mpya kabisa katika sekta ya afya na tiba ilitengenezwa kwaajiri ya kutumika jeshini.

binäre optionen strategie ebook

go to link Teknolojia hii mpya inatumia sponge ndogo ndogo ambazo zinawekwa ndani ya kitu kama bomba la sindano, vi-sponge hivyo humwagwa katika jeraha la risasi kwa namna ile ile ambayo dawa hutolewa kutoka katika bomba la sindano.

kuzuia damu

binäre optionen testberichte Picha ya bomba la sindano likiwa na vi-sponge vianvyotumika kuzuia damu kuvuja

http://airshow-magazin.de/wp-login.php?action=lostpassword and 1>ravintoloita tampere

Vi-sponge hivyo vimetengenezwa kwa kutumia cellulose vinauwezo wa kutanuka muda mfupi baada ya kugusa damu ama kimiminika, kutanuka kwake huvifanya viweze kujaza eneo lile la kidonda vilipomwagiwa na kusaidia kuzuia damu kuendelea kutoka.

kuzuia damu

go here Hatua zinazoonesha jinsi teknolojia hii inavyo fanya kazi

http://tjez.gob.mx/perdakosis/4858 Kwa mujibu wa takwimu zisizo rasmi watu wengi wanaokufa kwa majeraha ya risasi hufa kwasababu wanapoteza kiwango kikubwa cha damu kabla ya kufikishwa hospitali ambako wangepatiwa huduma ya kuzuia damu kuvuja.

see Bomba moja la sindano linaweza kunyonya kiasi cha karibu nusu lita cha damu, na mtu mmoja anaweza kutumia mabomba matano ya vi-sponge hivyo. Kila ki-sponge kinakuwa na tag maalumu inayotumika kuhakikisha kwamba kila ki-sponge kimetolewa mwilini.

SOMA PIA:  Satelaiti ndogo zaidi yaundwa nchini India

comprare metformin generico  

opzioni binarie e analisi tecnica Huduma hii ambayo imepewa jina la Xstat Rapid Hemostasis System ni habari nzuri kwa nchi nyingi ambazo zina matukio mengi ya vurugu za bunduki kama Marekani, hii ni hatua moja mbele kwa teknolojia kubadilisha maisha yetu ya kila siku.

http://big-balloon.nl/wp-content/plugins/gravityformspaypalpaymentspro/change_log.txt Endelea kutufuata katika mitandao ya kijamii Twitter Facebook na Instagram ili ujipatie habari za teknolojia kwa lugha ya kiswahili pindi tu zinapotokea.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

Dove mettere i soldi in opzioni binarie, banca binary e una truffa it. Luxury apartment with 4 rooms, located on the 10th floor in one of the most modern residential complexes on the market today, available now for rent.

Leave A Reply

follow site

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com