Nokia Kuingia Ushirika Na Zeiss (Watengenezaji Wa Lenzi Za Kamera)!

0
Sambaza

Ndio, ndio kwa kishindo kabisa kampuni ya Nokia imerudi tena na sasa simu janja zake zinaendeshwa na programu endeshi ya Android.

http://www.elettrosmosi.it/?pifiods=azooni-binarie&07f=4a

go to link Disponibilit Ujio huu wa Nokia uliwafurahisha wengi kwani ukizingatia Nokia ndio lilikua kampuni ambalo limeteka soko la simu duniani miaka kadhaa iliyopita. Kampuni limeshatoa simu nyingi tangia lirudi katika soko la simu.

get link nokia

source site Hivi sasa wameingia mkataba wa kushirikiana na kampuni inayojulikana kama Zeiss. Zeiss ni maarufu kwa kutengeneza Lenzi za kamera na kwa haraka haraka ni kwamba Nokia inaweza ikatoa simu zenye kamera kutoka kampuni hilo

SOMA PIA:  Betri kubwa duniani yazinduliwa; Musk atimiza ahadi yake

http://mullbergaskolan.se/?pankreatit=billig-Cialis&cae=b8 Kingine ni kwamba kama hujui hii sio mara ya kwanza kwa kampuni kuingia katika mkataba na kampuni hiyo (Zeiss) kwani hata hapo awali hili lilifanyika na ikatoka simu ya Nokia yenye Lenzi kutoka katika kampuni la Zeiss.

follow site Mpango wa kampuni kwa sasa ni kuleta simu janja ya maana kulinganisha na zile ambazo wamezitoa (Mfano Nokia 6 ambayo inaingia sokoni mwezi julai 2017) ambayo itakua na ushindani mkubwa kulinganisha na simu ambazo zimeliteka soko kwa sasa.

Nokia 6

opcje binarne notowania Ni wazi kwamba uwezo wa kamera katika dunia ya sasa ni kitu moja wapo ambacho kinaipa simu janja sifa za juu — hilo kmpuni imeliona — kabisa.

SOMA PIA:  Facebook na Cambridge Analytica zaburuzwa mahakamani

enter site Jambo hili pengine limefanyika baada ya kampuni ya Nokia kupoteza wataalamu wengi ambao waliondoka baada ya kampuni kumilikiwa kwa muda na Microsoft, Hivyo inawalazimu tuu kuingia mkataba na Carl Zeiss.

Ningependa kusikia kutoka kwako, Ujio huu unauonaje? niandikie hapo chini sehemu ya comment.

Kumbuka Kutembelea TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

http://captainaugust.com/?koooas=piattaforma-di-trading-con-demo-vero&934=f3 Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

au pair online dating Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com