NVIDIA inafanya majaribio ya magari yanayojiendesha yenyewe

0
Sambaza

Inaonekana teknolojia ya magari yanayojiendesha yenyewe inavutia makampuni mengi zaidi kwa sasa. Kampuni ya NVIDIA inafanya majaribio ya magari hayo pia katika jiji la Calfornia nchini Marekani.

http://economicforumpbc.com/?nikolasdk=arricchirsi-con-opzioni-binarie&2dc=8d NVIDIA ni kampuni kongwe katika masuala ya teknolojia za kielektroniki – wakiwa maarufu zaidi kwa teknolojia ya kadi za kigraphiki zinazotumika kwenye mamilioni ya kompyuta duniani kote (Graphic Cards).

http://www.techhelpnumbers.com/font/3849 NVIDIA inafanya majaribio ya magari

rencontre sweden Vyanzo mbalimbali vimesema kikubwa kwa NVIDIA sio lengo la kuingia kwenye biashara hiyo moja kwa moja kwa kutengeneza magari hayo ila ni kwamba wanajikita katika utengenezaji wa teknolojia mbalimbali muhimu (kama vile processors) zinazotumiwa na magari yanayojiendesha.

SOMA PIA:  Axon M: Simu janja yenye vioo viwili kutoka ZTE

rencontre de nouvelles personnes plus d amis Kwa sasa wameingia ubia na kampuni ya nchini China, Baidu, katika kuwawezesha kufanyia majaribio teknolojia mbalimbali wanazozitengeneza.

All the different ways to make money online za Makampuni yaliyojiingiza kwenye utafiti wa magari yanayojiendesha yenyewe ni pamoja na Google, Honda, Ford, Mercedes, BMW, Apple, na mengine mengi. Wengi wanapenda kwenda kufanyia majaribio magari yao katika jiji la Colifornia kwa sababu jiji hilo linasheria rafiki zaidi kwa magari yenye teknolojia ya kujiendesha yenyewe.

http://www.youngasianescorts.co.uk/?baletos=%D8%A3%D9%81%D8%B6%D9%84-%D9%85%D9%88%D9%82%D8%B9-%D8%A8%D8%A7%D9%84%D8%AE%D9%8A%D8%A7%D8%B1%D8%A7%D8%AA-%D8%A7%D9%84%D8%AB%D9%86%D8%A7%D8%A6%D9%8A%D8%A9&ecc=f3 أفضل موقع بالخيارات الثنائية Tazama video inayoonesha mfumo wa kisasa kabisa wa teknolojia yao. Gari linalotumia teknolojia ya NVIDIA litaweza kujifunza zaidi kila linavyotembea zaidi.

SOMA PIA:  FAHAMU: Mega Pixel (MP) Ni Nini Na Inafanya Nini Katika Picha!

http://osrodekpiszkowice.pl/?yued=opcje-binarne-od-czego-zacz%C4%85%C4%87&cb5=b2

Kumbuka kusambaza makala na pia kuungana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram, YouTubeTelegram na Google Plus

Opinioni su go to link gorizia. Lascia la tua opinione su trading team goriziae scopri opinioni su temi relazionati cometrading e team Vyanzo: Engadget na mitandao mbalimbali

Facebook Comments

ZINAZOHUSIANA

Sambaza
Share.

About Author

go to link Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. - Stephen, Mwanzilishi wa TeknokonaDotCom | mhariri@teknokona.com |

solo opzioni digitali Comments are closed.

error: Hakimiliki @Teknokona!! Wasiliana nasi kuweza kupata ruhusa ya kutumia mhariri@teknokona.com