Nyimbo 10 Zinazoongoza Kutazamwa Youtube Mwaka 2016! - TeknoKona Teknolojia Tanzania

Nyimbo 10 Zinazoongoza Kutazamwa Youtube Mwaka 2016!

0
Sambaza

Kama ilivyo kila mwaka, mtandao wa Youtube una tabia ya kuweka wazi nyimbo za wasanii ambazo zimefanya vizuri kuliko zingine katika mtandao huo.

follow site

cheap Keppra online Kipimo cha kufanya vizuri ni idadi ya uangaliwaji wa nyimnbo hizo. Wakati huko bongo wasanii wakisheherekea na kusumbua katika mitandao, huko kwa wenzetu watu wanafikisha mamilioni au hata bilioni katika idadi ya kutazamwa kwa nyimbo zao

YouTube Katika Simu Janja

Je unahisi ni nani anaeongozwa mwaka huu kuwa na nyimbo ambayo imetazamwa sana kuliko wasinii wengine?

http://dr-buckner.com/promotions/free-gift-bags/ List Nzima Ya Nyimbo Zilizofanya Vizuri ( 1 – 10)

1. Fifth Harmony, “Work from Home ft. Ty Dolla $ign”
2. Calvin Harris, “This Is What You Came For ft. Rihanna”
3. Nicky Jam, “Hasta el Amanecer”
4. The Chainsmokers, “Closer (Lyric) ft. Halsey”
5. Rihanna, “Work ft. Drake”
6. Mike Posner, “I Took A Pill In Ibiza (Seeb Remix)”
7. Sia, “Cheap Thrills (Lyric Video) ft. Sean Paul”
8. Zayn, “Pillowtalk”
9. Coldplay, “Hymn For The Weekend”
10. Twenty One Pilots, “Heathens” (from Suicide Squad: The Album)

Nyimbo ya kwanza (Fifth Harmony, “Work from Home ft. Ty Dolla $ign”) imetazamwa zaidi ya mara bilioni 1,194,962,249* na nyimbo ya mwisho (Twenty One Pilots, “Heathens” ) imetazamwa zaidi ya mara milioni 490,483,878*

INAYOHUSIANA  Facebook yapoteza wateja kutokana na GDPR

Kitu kingine kizuri ni kwamba kundi la wanadada, Fifth Harmony mara ya kwanza kabisa walitambulisha jina la nyimbo yao hio kama ‘work’ lakini baada ya kuona kuwa msanii nguli wa kike, Rihanna nae anatoa nyimbo yake ambayo ina jina hilo hilo ikabidi wabadilishe na kuliita ‘work from Home’

Ningependa kusikia kutoka kwako je unadhani list hii iko sawa au ina mapnungufu? Niandikie hapo chini sehemu ya comment.

Kama utafiti ungefanyika kwa Tanzania unahisi wasanii gani wangekuwa wanaongoza ukimtoa Yule anayejulikana na kila mtu, Diamond Platnumz

Kumbuka kusambaza makala na pia kuungana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram, YouTubeTelegram na Google Plus

Facebook Comments

Sambaza
Share.

About Author

Mhariri Wa Teknokona Na Mmoja Kati Ya Wafuasi Wa Teknolojia! Tuikuze TeknoKona Wote Basi. Ningependa Kusikia Kutoka Kwako Nitumie Barua Pepe hash@teknokona.com

Comments are closed.